Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New x-love in townNimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Pole sana!Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Pole sana!
Muda ni dawa sahihi na maumivu yataisha tu.
Mapenzi yanaumiza sehemu gani mkuu?Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Naweza kukuumiza?Hayajaniumiza lakini[emoji1]
Samehe ili uwe huru. Najua ni ngumu sana kusamehe ila ukidhamiria utafanikiwa na maumivu yataisha.Mimi nina miaka 5 na bado hayajaisha, ila yamefanya niwe sugu.
Mapenzi Ni km misimu ya mwaka, Kuna kipupwe kiangazi na masika, kuumizwa si ajabu kabisaHayajaniumiza lakini😄
Muoneni huyu wakulungwa.we raia unapenda Gemini sana