Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

Majanga ya mapenzi ni experience ambayo haikosi cha kukufunza.

Binafsi nimeshaingia kwenye state of mind ya kwamba "if it is to break, it will break no matter what".

Kwa hiyo, huwa sibembelezi nikitishwa kuachwa, hata kama inaonekana kosa ni langu. Issue za kuomba msamaha pia naona zimekuwa ngumu.
Hakyamama kuna siku utakuja kunasa sehemu usiamini na goti utapiga kuomba msamaha 😄😄😄
 
Hahaha....mimi ni daktari wa kienyeji naweza kukutibu hiyo sehemu ukapona kabisa mkuu

Ebu kuwa na huo utayari
Kaa kwa password wa kienyeji.

Si tulikubaliana unanipea msukuma mwenzio..au imeishia wapi
 
Back
Top Bottom