scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 899
Hapa hakuna cha mwanamke wala mwanaume....Asante mkuu ila inabd mjtafakar !!! Nyie wanawake
Mazoea ndo yanakufanya uumie .. Ushazoea kila ukiamka unamtxt sasa kimbembe mmeachana hata simu unao nzitoPole sana mkuu niliwahi kuhoji hichi kitu hapa
Swali: Kwa nini ukimpenda mtu, baadae mkiacha huwa inauma/unaumia sana?
exactly. [emoji122]mapenzi hayaumizi, watu ndo wanaumiza.