Mapenzi yanaumiza! Wachache wanayafurahia

Mapenzi yanaumiza! Wachache wanayafurahia

Nmeanza mwaka vibaya mapenz yanaumiza nyiee achenii ... Wanawake viumbe tatanishiii.... Ntajizuia kulewa na kunywa pombe ila mapenz yanaumaa
Akizingua piga chini fasta usikawia mkuu, wao viumbe wanazingua kis****nge yani, Kiumbe akiewaumba huenda yuko Korea kaskazini, But I'm not sure!
 
Hapa hakuna cha mwanamke wala mwanaume....
Wakati wewe unawalaumu wanawake, kuna mwanamke naye anawalaumu wanaume!
Bora umwambie....mm ni msichana lakini tangu yanikute cjwah kupenda...na nkiachana na mtu naona kawaid ila nlitamanigi kufa kwaajili ya mapenz now namshukuru mungu kwa hapa nlipofikia
 
Bora umwambie....mm ni msichana lakini tangu yanikute cjwah kupenda...na nkiachana na mtu naona kawaid ila nlitamanigi kufa kwaajili ya mapenz now namshukuru mungu kwa hapa nlipofikia
Ahimidiwe Muumba aliyekupa nguvu ya kusonga mbele. Maumivu ya mapenzi hayanaga dawa bali hupowa yenyewe taratibu au haraka kwa msaada wa Mungu.
 
Mazoea ndo yanakufanya uumie .. Ushazoea kila ukiamka unamtxt sasa kimbembe mmeachana hata simu unao nzito
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia tu mlio wa simu unamkumbuka. Mimi huwa nabadilisha mlio(muito) wa simu ili ikiita nisidhani ni yeye kanipigia.
 
mapenzi hayaumizi, watu ndo wanaumiza.
Uko sahihi lakini kumbuka kuwa rafiki yako wa kawaida akikuacha (urafiki ukivunjika) huumii kama ambavyo utaamia ukiachwa na mpenzi wako, hivyo kinachoumiza ni mapenzi japo sababu inayopelekea kutokea kwa maumivu hayo ni watu.
 
hahahahahaaa yani ww bado unawapenda hawa wanawake???? unachelewa kufanya mambo yako kijana[emoji38] wenyew washakwambia sa hv wanataka helaaa
Ndugu,mapenzi ni kama maji usipoyanywa, utayaoga!
 
😀acha tu mkuu na kusema utaacha kupenda huwezii yaani..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia tu mlio wa simu unamkumbuka. Mimi huwa nabadilisha mlio(muito) wa simu ili ikiita nisidhani ni yeye kanipigia.
 
Back
Top Bottom