Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Akizingua piga chini fasta usikawia mkuu, wao viumbe wanazingua kis****nge yani, Kiumbe akiewaumba huenda yuko Korea kaskazini, But I'm not sure!Nmeanza mwaka vibaya mapenz yanaumiza nyiee achenii ... Wanawake viumbe tatanishiii.... Ntajizuia kulewa na kunywa pombe ila mapenz yanaumaa
Bora umwambie....mm ni msichana lakini tangu yanikute cjwah kupenda...na nkiachana na mtu naona kawaid ila nlitamanigi kufa kwaajili ya mapenz now namshukuru mungu kwa hapa nlipofikiaHapa hakuna cha mwanamke wala mwanaume....
Wakati wewe unawalaumu wanawake, kuna mwanamke naye anawalaumu wanaume!
Kwasababu hauna pesaNmeanza mwaka vibaya mapenz yanaumiza nyiee achenii ... Wanawake viumbe tatanishiii.... Ntajizuia kulewa na kunywa pombe ila mapenz yanaumaa
Ahimidiwe Muumba aliyekupa nguvu ya kusonga mbele. Maumivu ya mapenzi hayanaga dawa bali hupowa yenyewe taratibu au haraka kwa msaada wa Mungu.Bora umwambie....mm ni msichana lakini tangu yanikute cjwah kupenda...na nkiachana na mtu naona kawaid ila nlitamanigi kufa kwaajili ya mapenz now namshukuru mungu kwa hapa nlipofikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia tu mlio wa simu unamkumbuka. Mimi huwa nabadilisha mlio(muito) wa simu ili ikiita nisidhani ni yeye kanipigia.Mazoea ndo yanakufanya uumie .. Ushazoea kila ukiamka unamtxt sasa kimbembe mmeachana hata simu unao nzito
Uko sahihi lakini kumbuka kuwa rafiki yako wa kawaida akikuacha (urafiki ukivunjika) huumii kama ambavyo utaamia ukiachwa na mpenzi wako, hivyo kinachoumiza ni mapenzi japo sababu inayopelekea kutokea kwa maumivu hayo ni watu.mapenzi hayaumizi, watu ndo wanaumiza.
Ndugu,mapenzi ni kama maji usipoyanywa, utayaoga!hahahahahaaa yani ww bado unawapenda hawa wanawake???? unachelewa kufanya mambo yako kijana[emoji38] wenyew washakwambia sa hv wanataka helaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia tu mlio wa simu unamkumbuka. Mimi huwa nabadilisha mlio(muito) wa simu ili ikiita nisidhani ni yeye kanipigia.
Mkuu pole sana hawa viumbe wamekufanyanini?Nmeanza mwaka vibaya mapenz yanaumiza nyiee achenii ... Wanawake viumbe tatanishiii.... Ntajizuia kulewa na kunywa pombe ila mapenz yanaumaa