Mapenzi yanayosimamiwa na wazazi

Mapenzi yanayosimamiwa na wazazi

Amran Mpogole

Member
Joined
Oct 2, 2022
Posts
29
Reaction score
26
Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi, mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi ?
 
Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi
Aidha mnaachana au mnaendeleza penzi lenu.
 
Nilipitia hii, ukweli ni kuwa hakuwa na uwezo na niliogopa kutoka nyumbani nisije nikashindwa kurudi kuomba msaada yakitushinda so tukawa tunasubiri ajiongeze tukaachana kwasababu aliniambia kama simpi mbususu atakula kwingine mpaka niwe tayari nikamwambia ukienda kwingine usirudi akasema haya ikaisha hivyo 🥴
 
Uchoyo tu ulikuponza

Nikiona mwanangu anaanzisha mahusiano ambayo hayana mwelekeo wala lengo lolote zaidi ya kumharibu, mimi kama mzazi lazima niyavunje mapema
 
Back
Top Bottom