Amran Mpogole
Member
- Oct 2, 2022
- 29
- 26
Aidha mnaachana au mnaendeleza penzi lenu.Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi
Uchoyo tu ulikuponzaNilipitia hii, ukweli ni kuwa hakuwa na uwezo na niliogopa kutoka nyumbani nisije nikashindwa kurudi kuomba msaada yakitushinda so tukawa tunasubiri ajiongeze tukaachana kwasababu aliniambia kama simpi mbususu atakula kwingine mpaka niwe tayari nikamwambia ukienda kwingine usirudi akasema haya ikaisha hivyo 🥴
Sema tu sikumpendaUchoyo tu ulikuponza
Uchoyo tu ulikuponza
Ulivyoona hana kitu ukachapa lapaSema tu sikumpenda
Ndio asingebadilika nisingemuacha ,mbona alikubaliwa na ufukara wakeUlivyoona hana kitu ukachapa lapa
Hongera kwa kituambia ukweli kuwa ulikuwa unabet kama angekuw na pesa ungekuwa naye
Kwanini unasema hivo mkuuHao wazazi wana akili sana.
Unawezaje kuendeleza wazazi ndio wamegoma au ni mbinu gani itumike kuendeleza penziAidha mnaachana au mnaendeleza penzi lenu.
Mpeane mimbaUnawezaje kuendeleza wazazi ndio wamegoma au ni mbinu gani itumike kuendeleza penzi
Ndo kilichobakiMpeane mimba
Hao wazazi wana akili sana.