Najaribu kuelewa sredi lakini nashindwa sijui ubongo nimeuacha last year
hahaha happy new year kakaNajaribu kuelewa sredi lakini nashindwa sijui ubongo nimeuacha last year
Happy New Year mkuu, ngoja tuwaachie wenye sredi waliendeleze [emoji16]hahaha happy new year kaka
Kweli kabisa mkuuHappy New Year mkuu, ngoja tuwaachie wenye sredi waliendeleze [emoji16]
Hahah kwa kweli mkuuUkiona hivyo siyo yako[emoji3][emoji3]
Mimi pia aiseeNajaribu kuelewa sredi lakini nashindwa sijui ubongo nimeuacha last year
Mapenzi ya kweli ni kama jini,
hulioni wacha liliyemuona kwani yeye ana nini?
Unamwita queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina PIN na ma'password kila kona
Na majina "kaka dabra" kumbe ni Ibrah yani Roma
Na aliemsave kama "baba" umejiba naye kinoma...
Tukienda kasi kuna rafiki wa fast,kiasi kwamba hata your first love hawezi kuwa your last
Unamwita darling au wifey mama mamito
Unapata habari kuna walafi wanamla hadi jicho
Oouh...umeyaonja mpendwa weye?Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini itβs fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika afya, kukubalika katika jamii( kibali machoni pa watu) si kila mtu anabahatika kupata.