Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

haki ya mungu wewe kaka wewe naweza kukutukana nipigwe ban hapa jf milele
unamla mtu miaka saba,mmeplan maisha na mtu mmetengeneza strategic plan na action za kutekeleza for seven solid years! leo umeona makalio mengine unaanza longolongo unataka kusepa hivi hv? ada za uchakavu? kwani alikuomba umtongoze,wewe ulimuomba uingie katika maisha yake ,akakukaribisha umempeperushia ndege wake kibao kwa kukuheshimu akatulie leo hii unataka kusepa, dah HII DHAMBI UTAIBEBAJE?
BACK TO YOUR WOMAN
na yeye alikubalije kuzini miaka 7? au ulimloga? miaka saba ???? khaa mmekuwa wakenya? mtoto angekuwa la tatu hapo? ngoja nilie kwanza nakuja
 
Just put ya feet in her shoose!
Usiwasingizie ndugu zako kuwa hawamtaki tatizo unalo wewe mwenyewe as huna uhakika kama unataka kumuoa au la!

Kama walivyoshauri wengine hapo juu ni bora uamue moja kuliko kuendelea kumpotezea muda binti wa watu na ni bora umwache kuliko umwoe alafu uanze kuhangaika na wengine.
 

Miaka 7 mwe huruma
 
muda walishapoteza miaka 7 unaijua wewe?
 


Hivi, WANAUME siku hizi wameenda wapi jamani?

CC gfsonwin, snowhite, cacico, AshaDii, Asprin, Mtambuzi, Paloma, Zion Daughter, Paloma, amu, The Boss Roulette
 
Last edited by a moderator:
7years?!kweli
some people bwana!(trans)
 
muda walishapoteza miaka 7 unaijua wewe?

ni kweli Smile miaka 7 hasa kwa binti sio ya kitoto, ila mydia kipi bora aendelee kuwa nae ili hali hana tena commitment nae au amwache asepe zake, au amwoe kisa kamwonea huruma lolz!
 
Last edited by a moderator:
Sio kitu rahis kukwambia umuache mtu mlodumu 7yrs lkn kama humpend kbs just leave her mana hamna sababu ya kufunga ndoa ya kunyanyasana na pengine ivunjike baada ya miezi kadhaa.

Fanya maamuzi magumu for the sake of your future for both of u
 
Ahahahaaa.Swali hili jamani!!!wewe smile mchokozi..Mimi kama mtu hueleweki siku moja kubwa sana na kugegeda ndo sahau kabisaa.. kwanza mpk tuombe ruhusa kwa mchungaji na baba yangu Mwita Maranya
kopi : Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kuna ile kitu inaitwa kumuacha mtu taratibu mkuu...huijui weye??? Tumia hiyoo
 


Kwanin uombe ushauri sasa na sio awali tatzo lilipoanza kujitokeza?
kama unamuacha muache mapema kabla hamjaanza ata mipango ya ndoa.
AISHIVYO MWANADAMU SII AISHIVYO MUNGU. ataumia ila Mungu atayasikia maumivu na kilio chake.
 

Natamani kama namie ningezaliwa na kuolewa mapema pengine ningesema kama wewe kua namshukuru mungu kwa kunipa mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…