Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

haki ya mungu wewe kaka wewe naweza kukutukana nipigwe ban hapa jf milele
unamla mtu miaka saba,mmeplan maisha na mtu mmetengeneza strategic plan na action za kutekeleza for seven solid years! leo umeona makalio mengine unaanza longolongo unataka kusepa hivi hv? ada za uchakavu? kwani alikuomba umtongoze,wewe ulimuomba uingie katika maisha yake ,akakukaribisha umempeperushia ndege wake kibao kwa kukuheshimu akatulie leo hii unataka kusepa, dah HII DHAMBI UTAIBEBAJE?
BACK TO YOUR WOMAN
na yeye alikubalije kuzini miaka 7? au ulimloga? miaka saba ???? khaa mmekuwa wakenya? mtoto angekuwa la tatu hapo? ngoja nilie kwanza nakuja
 
Just put ya feet in her shoose!
Usiwasingizie ndugu zako kuwa hawamtaki tatizo unalo wewe mwenyewe as huna uhakika kama unataka kumuoa au la!

Kama walivyoshauri wengine hapo juu ni bora uamue moja kuliko kuendelea kumpotezea muda binti wa watu na ni bora umwache kuliko umwoe alafu uanze kuhangaika na wengine.
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???

Miaka 7 mwe huruma
 
muda walishapoteza miaka 7 unaijua wewe?
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???

Hivi, WANAUME siku hizi wameenda wapi jamani?

CC gfsonwin, snowhite, cacico, AshaDii, Asprin, Mtambuzi, Paloma, Zion Daughter, Paloma, amu, The Boss Roulette
 
Last edited by a moderator:
muda walishapoteza miaka 7 unaijua wewe?

ni kweli Smile miaka 7 hasa kwa binti sio ya kitoto, ila mydia kipi bora aendelee kuwa nae ili hali hana tena commitment nae au amwache asepe zake, au amwoe kisa kamwonea huruma lolz!
 
Last edited by a moderator:
Sio kitu rahis kukwambia umuache mtu mlodumu 7yrs lkn kama humpend kbs just leave her mana hamna sababu ya kufunga ndoa ya kunyanyasana na pengine ivunjike baada ya miezi kadhaa.

Fanya maamuzi magumu for the sake of your future for both of u
 
uchumba gani mtu hajulikani kwenu.mi navojua mchumba ni yule ambae umeenda kwao na pande zote zimeridhia mfunge ndoa.huyo ni mpenzi tu wa kimtaa . miaka 7 duh kuna watu wana moyo wa chuma mi masaa 12 tu sikai,mimi nikishaanza kuhesabu sekunde ikifika ya 57 husomeki naanza kusogeza mguu 59,60 huyoo
unigegede miaka 7 uje unitose , lazima niloge kikojoleo chako
shosti niambie umegegedwa miaka mingapi wewe?
Ahahahaaa.Swali hili jamani!!!wewe smile mchokozi..Mimi kama mtu hueleweki siku moja kubwa sana na kugegeda ndo sahau kabisaa.. kwanza mpk tuombe ruhusa kwa mchungaji na baba yangu Mwita Maranya
kopi : Asprin
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
Kuna ile kitu inaitwa kumuacha mtu taratibu mkuu...huijui weye??? Tumia hiyoo
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???

Kwanin uombe ushauri sasa na sio awali tatzo lilipoanza kujitokeza?
kama unamuacha muache mapema kabla hamjaanza ata mipango ya ndoa.
AISHIVYO MWANADAMU SII AISHIVYO MUNGU. ataumia ila Mungu atayasikia maumivu na kilio chake.
 
hivi umesahahu kwamba wanaume wa siku hizi ni wanaume suruali??
namshukuru sana Mungu nilizaliwa na kuolewa zamani nikapata mume.
jema zaid wa ukweli yuko juu kiume na hata wewe ma swtlo ni mwanaume kifua chuma sasa hawa ambao jando hawakwenda aibu tupu..............

Natamani kama namie ningezaliwa na kuolewa mapema pengine ningesema kama wewe kua namshukuru mungu kwa kunipa mume.
 
Back
Top Bottom