obama ze don
Member
- Mar 1, 2013
- 40
- 6
jamaa mmoja anasoma bachelor alitongoza demu wa first year chuon kwao, sasa baada ya kumaliza haja yake akampiga chini dem kurud semister ya pili anamtafuta jamaa, akazinguliwa demu akaamua ajitupe ghorofa ya nne, hii ndo story inayotamba hapa national institute of transport