Kuna mchiz wangu pia ilitokea kama hvyo, demu alimwambia yupo Japan ni yatima ila wazaz wake wamemwachai usd 25 mil, ila kuna kesi za baba yake kuhusu hizo hela na demu kwa sasa haruhusiwi kutoka nje ya nchi, rafiki yangu akaambiwa atume a/c namba yake ili demu aziweke hizo pesa humo halafu demu atoroke kule aje kuishi bongo na mshkaji na ikidi waoane ili kufuta soo kuwa mali ziwe kwa jina la mshkaji. Wajanja tukamtahadharisha jamaa mapema kuwa akizubaa ataliwa.So 1st Bort achana kabisa na huyo mtu na mtumie email mwambie kabisa yeye ni mwizi.