Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado mzee hajaniibia nahisi ndo alikuwa ananinyemelea.Ushaibiwa wewe, ukizubaa zaidi utapotezwa!
ikawaje mkuu, mlifika wapi?tapeli uyo mi mwenyewe imenitokea
ni kiasi cha kumpiga nyama chini, nishajua ukweli haihitaji umakini.Ndg huyo nitapeli kuwa makini naye sana
uwiii!!!!!Hiyo single wanaitumia sana hao watu,ni matapeli balaa ole wako umpe acc yako ndio utakapo jua anakupenda na kukuamini.
Asante kwa mchango mshkaji wangu.Kuna mchiz wangu pia ilitokea kama hvyo, demu alimwambia yupo Japan ni yatima ila wazaz wake wamemwachai usd 25 mil, ila kuna kesi za baba yake kuhusu hizo hela na demu kwa sasa haruhusiwi kutoka nje ya nchi, rafiki yangu akaambiwa atume a/c namba yake ili demu aziweke hizo pesa humo halafu demu atoroke kule aje kuishi bongo na mshkaji na ikidi waoane ili kufuta soo kuwa mali ziwe kwa jina la mshkaji. Wajanja tukamtahadharisha jamaa mapema kuwa akizubaa ataliwa.So 1st Bort achana kabisa na huyo mtu na mtumie email mwambie kabisa yeye ni mwizi.