Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa, wababe wa ugaidi wa huo ukanda akina Iran wanaangalia tu hawana la kufanya.

Chondechonde rais wa nchi yangu nakuomba kwenye shobo zako usiwahi kuingia ugomvi na Israel..... Tugombane tu huku Afrika lakini shobo zisikutume kule, wale ni namba nyingine.

33XW9FD-highres-1697020236.jpg

AP23284437076778-1-1697090343.jpg

AP23284322500726-1697090320.jpg

AP23284511730844-1697036102.jpg

AP23283472349693-1-1697090303.jpg

2023-10-11T063007Z_1862764975_RC26Q3A6IT5T_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697006020.jpg

2023-10-11T132335Z_437210073_RC2OP3A8JEEO_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-GAZA-TIMELINE-1697050494.jpg

33XU9HR-highres-1696851222.jpg

2023-10-12T072255Z_1629287600_RC2VQ3AK3YLY_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697100739.jpg

Hii ikitokea nchi za akina sie choka mbaya tusahau kuinuka tena kama nchi. Maana kwa miaka 60 tu, tupo hapa....... Je tukisambaratishwa hivi.

Amani ni kitu muhimu katika kuleta maendeleo.
 
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa, wababe wa ugaidi wa huo ukanda akina Iran wanaangalia tu hawana la kufanya.

Chondechonde rais wa nchi yangu nakuomba kwenye shobo zako usiwahi kuingia ugomvi na Israel..... Tugombane tu huku Afrika lakini shobo zisikutume kule, wale ni namba nyingine.

33XW9FD-highres-1697020236.jpg

AP23284437076778-1-1697090343.jpg

AP23284322500726-1697090320.jpg

AP23284511730844-1697036102.jpg

AP23283472349693-1-1697090303.jpg

2023-10-11T063007Z_1862764975_RC26Q3A6IT5T_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697006020.jpg

2023-10-11T132335Z_437210073_RC2OP3A8JEEO_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-GAZA-TIMELINE-1697050494.jpg

33XU9HR-highres-1696851222.jpg

2023-10-12T072255Z_1629287600_RC2VQ3AK3YLY_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697100739.jpg

Kusikia kwa kenge
 
Nimewadharau sana Israel wanapigana na majengo na wanawake na watoto badala ya wanaume wenzao.
Sasa hao wanaume gani wanaojificha kwa wanawake na watoto? Na hata baada ya Israel kutoa tangazo la saa 24 Wapalestina, kutoka, walikuwa wanawazui!! Ila wamewapuuza. Hadi hospital inakuwa chimbo lao la kushambulia unategemea nini?
 
Nimewadharau sana Israel wanapigana na majengo na wanawake na watoto badala ya wanaume wenzao.
Wanaume wenzao watawapata wapi? Wanaume wanawatumia wanawake na watoto kama human shield. Na tangu lini vita vikawa na macho? Ndiyo maana wanawake na watoto waliambiwa waondoke kabla moto haujaanza kudondoka!

Kama kweli wana ubavu hao Hamas si wajitokeze peupe zipigwe kavu kavu? Ya nini kutumia wanawake na watoto kama ngao?

Eti unarusha makombora kutoka hospitali ya watoto halafu missile ikitumwa kuja kutafuta kombora lilipotokea (hospitali ya watoto) unaanza kulalamika....
 
Israel bhana! Yaani wameona kusaka gaidi moja moja inapoteza mda heri kulipia mji mzima
Inasemekana hawa Hamas militants mara kadhaa wanakiuka "International humanitarian law" kwa kuficha roketi ktk shule na mahospitali, pia mayahudi yanadai kuwa Hawa Hamas wanafyatua hizo roketi kutoka densely populated areas, so anachofanya Yahudi ni kulenga maeneo anayo suspect zimehifadhiwa roketi, artillery na mortars.
Vita mbaya sana, usiombe!
 
Wanaume wenzao watawapata wapi? Wanaume wanawatumia wanawake na watoto kama human shield. Na tangu lini vita vikawa na macho? Ndiyo maana wanawake na watoto waliambiwa waondoke kabla moto haujaanza kudondoka!

Kama kweli wana ubavu hao Hamas si wajitokeze peupe zipigwe kavu kavu? Ya nini kutumia wanawake na watoto kama ngao?

Eti unarusha makombora kutoka hospitali ya watoto halafu missile ikitumwa kuja kutafuta kombora lilipotokea (hospitali ya watoto) unaanza kulalamika....
😕
 
Halafu cha kusikitisha,wakipigwa walipoficha hizo rockets hao wa kuitwa wanaume wanatoka wamebeba picha za maiti za watoto na kuzitengenezea propaganda za kuuliwa watoto huku wakijua kabisa wanawatanguliza watoto na wamama kama ngao zao.Palestina maisha ya kina mama na watoto hayana thamani kabisa.
 
Back
Top Bottom