Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Aisee hii ni hatarii sana dah kweli Vita isikie kwa jirani, watu wanauwana kwa kiwango hiki mbaya zaidi tunaoathirika ni wanawake na wanetu. Mungu aingilie kati jamani hii inaogofya.
 
Palestine niwapumbafu sana wanawaficha hao migambo wa hamas..katka makaz yawatu wanategemea israel iwachekee nahuku wameyaanzisha wenyewe..nakumbe umeme maji navitu kibao walikuwa wanapewa na israel alafu ndo kumchokoza wacha wachapwe chapwe akili zikae sawa
 
Hawa jamaa inaonekana wana survive kwa misaada ya nchi za kiarabu na nchi nyingine na sio tozo na kodi kama huku, ndio maana japo hali ni hivyo magofu lakini baada ya mwaka magorofa yamesimama.
 
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa, wababe wa ugaidi wa huo ukanda akina Iran wanaangalia tu hawana la kufanya.

Chondechonde rais wa nchi yangu nakuomba kwenye shobo zako usiwahi kuingia ugomvi na Israel..... Tugombane tu huku Afrika lakini shobo zisikutume kule, wale ni namba nyingine.


33XW9FD-highres-1697020236.jpg


AP23284437076778-1-1697090343.jpg


AP23284322500726-1697090320.jpg



AP23284511730844-1697036102.jpg



AP23283472349693-1-1697090303.jpg




2023-10-11T063007Z_1862764975_RC26Q3A6IT5T_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697006020.jpg


2023-10-11T132335Z_437210073_RC2OP3A8JEEO_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-GAZA-TIMELINE-1697050494.jpg



33XU9HR-highres-1696851222.jpg



2023-10-12T072255Z_1629287600_RC2VQ3AK3YLY_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1697100739.jpg



Safi sanaaaa
 
Inapaswa Sasa Dunia iwaombe Israel inatosha kama kulipiza ishatosha hamas wamejifunza mrejesho wa Kila action Yao mbaya
 
Hamas walipina na wanaume wenzao au waliua raia na watoto
Hamas wamewateka raia ili kubadilishana na wafungwa wao waliopo katika magereza ya Israel. Wanaolengwa na Hamas ni wanajeshi wa israeli na miundombinu ya kijeshi. Israel yeye amelenga raia 100% anapigana vita unprofessional kabisa.
 
Kwani na wewe ni mwanamke?, Peleka kende zako mbele basi. Hamas walivyowateka watoto wadogo na kuwachoma Moto ndani ya nyumba walikuwa wake wenzako.
Mateka wa israeli hawajauwawa wamechukuliwa kama mbinu ya kutaka kubadilishana na wafungwa wa kipalestina katika magereza yaliyopo israeli.
 
Back
Top Bottom