Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Aisee hii ni hatarii sana dah kweli Vita isikie kwa jirani, watu wanauwana kwa kiwango hiki mbaya zaidi tunaoathirika ni wanawake na wanetu. Mungu aingilie kati jamani hii inaogofya.
 
Palestine niwapumbafu sana wanawaficha hao migambo wa hamas..katka makaz yawatu wanategemea israel iwachekee nahuku wameyaanzisha wenyewe..nakumbe umeme maji navitu kibao walikuwa wanapewa na israel alafu ndo kumchokoza wacha wachapwe chapwe akili zikae sawa
 
Hawa jamaa inaonekana wana survive kwa misaada ya nchi za kiarabu na nchi nyingine na sio tozo na kodi kama huku, ndio maana japo hali ni hivyo magofu lakini baada ya mwaka magorofa yamesimama.
 
Safi sanaaaa
 
Inapaswa Sasa Dunia iwaombe Israel inatosha kama kulipiza ishatosha hamas wamejifunza mrejesho wa Kila action Yao mbaya
 
Hamas walipina na wanaume wenzao au waliua raia na watoto
Hamas wamewateka raia ili kubadilishana na wafungwa wao waliopo katika magereza ya Israel. Wanaolengwa na Hamas ni wanajeshi wa israeli na miundombinu ya kijeshi. Israel yeye amelenga raia 100% anapigana vita unprofessional kabisa.
 
Kwani na wewe ni mwanamke?, Peleka kende zako mbele basi. Hamas walivyowateka watoto wadogo na kuwachoma Moto ndani ya nyumba walikuwa wake wenzako.
Mateka wa israeli hawajauwawa wamechukuliwa kama mbinu ya kutaka kubadilishana na wafungwa wa kipalestina katika magereza yaliyopo israeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…