Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Waambie hao wanaume waache kujificha kwa raia na watoto
Hawajifichi ila hii nisababu inayotolewa na israeli kutokana na kushindwa kuwadhibiti hao wanangambo wa hamas. Tuliambiwa hapa kuwa wataanza uvamizi wa ardhini kuwafuata ndani ya Gaza hao wanaoitwa magaidi kiko wapi mpaka sasa? Israel anapigana vita unprofessional kabisa yani sikutegemea.
 
Wewe huna akili hivi ndani ya nchi yako unapewa umeme na maji na wakiamua wanakata na hakuna kutoka mpaka nchi ya jirani yako iamuwe unaona hayo ni maisha? Wapalestina wapo gerezani ndani ya nchi yao wenyewe wapambane tu ni heri wafie hapo tu hakuna namna.
 
Halitasalia jiwe juu ya lingine bila kubomoshwa,mpaka kenge atoe damu masikioni.
 
Hapo ndipo penyewe ili wapate maji lazima wafie humohumo,ili umeme uwake lazima wafie humohumo ili wapate makaburi ya kuzikwa lazima wafie humohumo kwenye nchi yao.
 
Jinga sana hawa Wanamgambo wa Hamas!
Wanatumia Human shield. Vile vile hata hawa Mayahudi hawafai kabisa.
 
Jeshi halipangiwi jinsi ya kudili na adui, amtafute gaidi mmoja momja wapi? Hamasi ni trained fighters
 
Bhas wapambane..waendelee kufa
 
Civilised world imechoka ubabe wa myahudi:

Israel’s actions have gone beyond self-defense and it should heed the call of the international community.
Wang Yi
CHINESE FOREIGN MINISTER
 
Nimewadharau sana Israel wanapigana na majengo na wanawake na watoto badala ya wanaume wenzao.
Yalipokuwa yanafanyika Ukraine mlikuwa mnamshangilia Putin na kudai wanajeshi wa Ukraine walikuwa wakiwatumia raia kama ngao sasa yanapofanyika kwa wapalestina mnalalamika.

Nyamazeni tu kwa sababu magaidi wa Hamas wanajichanganya na raia na bomu haiwezi kubagua na isitoshe kwa nini wasiwafuate Israel moja kwa moja? Kwa nini wanajificha kwa raia? Bure kabisa.
 
Unajisifu kushambulia watu hawana air defence systems alafu unajiita mwamba
 
Omera tumpongeze pia Urusi kwa kupiga majengo na kuua raia huko Ukraine maana naona scenes zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…