MAPICHA: MTV party at Maisha club

MAPICHA: MTV party at Maisha club

huyu Salama yupo nji hii?

mtoto mzuri sana lakini msuba...aaahhhh!!!!!!!!!1

 
attachment.php


Diamod alitoka kama hayati nguli wa pop duniani Michael Jackson....


Hahahahahaaaaaaaaaa😱 uuuwiii
 
Ila nadhani siku ikitokea sirikali ikiruhusu akina dada wavae watakavyo, nadhani vyandarua vya Bush vitashonwa magauni na sketi. Maana naona kama nguo zenye adabu zinawanyima uhuru wa kujiachia! Wanapenda wakae pachu pachu tu!
 
hii yote dada iko gonjwa dani yake wewe angalia sana ike kimwi
 
Back
Top Bottom