RavoxTanzania
Member
- May 19, 2026
- 6
- 8
Mapiduzi ya usafil: Pikipiki za umeme(RAVOX)je ni suluisho la gharama za mafuta?
Habari za leo wadau,
Tunafahamu changamoto ya kupanda kwa gharama za mafuta na maintenance ya pikipiki za kawaida.
Kama mradi wa RAVOX, tunaleta mapinduzi ya pikipiki za umeme hapa nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uendeshaji.
Ningependa kupata maoni yenu wadau:
Kati ya pikipiki za umeme na za mafuta, mnaona ipi ina faida zaidi kwa boda boda?
Ni changamoto gani kuu mnazoziona kwa usafiri wa umeme (mfano vituo vya kuchajia)?
Karibuni kwa ushauri ili tuweze kuboresha huduma hii. Kwa yeyote mwenye maswali, anaweza kuacha swali lake hapa.
Asanteni.