Mapiduzi ya usafiri: Pikipiki za umeme(RAVOX). Je, ni suluisho la gharama za mafuta?

RavoxTanzania

Member
Joined
May 19, 2026
Posts
6
Reaction score
8
Mapiduzi ya usafil: Pikipiki za umeme(RAVOX)je ni suluisho la gharama za mafuta?

Habari za leo wadau,

Tunafahamu changamoto ya kupanda kwa gharama za mafuta na maintenance ya pikipiki za kawaida.

Kama mradi wa RAVOX, tunaleta mapinduzi ya pikipiki za umeme hapa nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uendeshaji.

Ningependa kupata maoni yenu wadau:
Kati ya pikipiki za umeme na za mafuta, mnaona ipi ina faida zaidi kwa boda boda?

Ni changamoto gani kuu mnazoziona kwa usafiri wa umeme (mfano vituo vya kuchajia)?

Karibuni kwa ushauri ili tuweze kuboresha huduma hii. Kwa yeyote mwenye maswali, anaweza kuacha swali lake hapa.

Asanteni.

 
Ni shilingi 2,200,000 za kitanzania karibu
Kwa mawasiliano 0699480846/+255 792 992 355
 
Hiki kinabeba mtu mmoja tu? Na design ni hiyo moja tu?

Nataka ambacho hakionyeshi mavyuma vyuma hivyo
 
Hampo serious na biashara.
Hiki pikpiki zina muonekano mbaya alafu mnattumia black background hata hazionyeshi vizuri muundo wake
 
Watu wengine Huwa Hawaii serious kabisa.Yaani ndo wamekaa chini na kuja na hako kadide,yaani kana muonekano mbaya.Kwani KULIKUWA na ubaya Gani bodi likawa kama pikipiki ya kawaida alafu engine ndio ikawa ya umeme.
Hako ni kabaya,hamtaoata wateja isipokuwa mmoja moja sana..
Poor research,poor design.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…