Uchaguzi 2020 Mapigo matatu kwa Bernard Membe katika harakati zake za kuitafuta Ikulu

Loud and clear
 

Malizia damdam ccm awamu ya 4. maumivu!
 
Ukweli Membe hana mvuto wa kisiasa...mtu pekee wapinzani tunaweza kumtumia na kushinda tukiwa siriazi ni TUNDU ATIPAS LISSU
 
Kwa vyovyote mzee angebaki angejenga imani sana kwa wana upinzani na mashabiki,umenena sawia kabisa.
Kuna mbinu zinafeli. Uchaguzi huu ni mgumu. Kumrudisha mzee wa mabadiliko ccm lilikuwa kosa. Yeye ndo alitakiwa ampokee membe upinzani ila sijui ni woga kuwa watabadili gia wachukue nchi kweli au ni nn kilitokea.
 
Yes! Kuna wagombea 6 na matokeo ni 2%; 24%; 20%; 18%; 16%; 19% mwenye 24% ni rais kwa kanuni hiyo ya simple majority.
Aisee.kwa hiyo umeamua kuipiga hiyo 1% mkuu!!!
 
Daa...hv huwa mnawazaga nn hadi uandike ushuzii kama huu..who is membe by z way??
 
Na kwa Mara ya kwanza toka siasa za vyama vingi zianze hili ndilo litakalotokea mwaka huu

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ndoto za mchana siku hizi zakubalika
 
Hesabu kuwa Magu ana 80% hiyo iliyobaki wagawane kina Membe, Lissu, nk
Ngumu sana mkuu. Anzia Kikwete awamu ya kwanza alianza na ngp na ya pili ngap na JPM alianza na ngap asilimia za ushindi hapo ndy utajua hyo negative gradient inaenda wapi. Mwaka huu kampeni lazma ziwe ngumu sana na ushindi utakua Tait sana!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unaota ndoto za mchana. JPM apate 22% ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani kasema Kura za Urais zinaenda kwa uwiano
 
Pamoja na maelezo mazuri, lkn pia unaonekana upo mbali kidogo na mambo ya kisiasa au hata kisheria. Nchi yetu haina ushindi wa asilima 50. Nchi yetu inaushindi wa wingi wa kura. Hata kama wamepishana kura moja aliezidi ndo hutangazwa mshindi.
 
Kitendo cha BM kuanzisha ACT akiwa serikalini kinamwondolea uhalali wa kuwa mpizani halisi naona anatumika tuu.
 
Utaratibu wa Ushindi katika Chaguzi za Kisiasa Tanzania ni 'First Past the Post' na hakuna threshold ya percentage! Kwa hiyo kwa percentage ulizoweka hapo tayari Tundu Lissu yuko Chamwino.

Kwa dhana nyingine ni kwamba, hata wakiwa wagombe 100, mgombea wa kwanza akaongoza kwa 9% , wengine 99 wakagawana 91% zilizisalia, basi aliyeongoza kwa 9% ndo Rais wako!

Kwa lugha nyepesi, Tanzania mtu anakuwa Rais, hata akikushinda kura moja tu, regardless ni zaidi ya 50% au pungufu ya 50%.

Nawasilisha!
 
Ni Membe yupi unayemzungumzia wakupata 38 % ? Akipata 8 % nishitue.
 
Ilishafutwa hiyo na maccm, sasa hivi mshindi ni yule mwenye kura nyingi.
... ndio hiyo simple majority aliyekuzidi hata kwa kura moja ndiye mshindi; yaani wewe una 17% na yeye ana 17.0001% yeye ni mshindi. Mkapa ndiye aliyefuta ile ya at least 50%.
 
Siwezi kuota ndoto hii hata nikiwekwa kisiwa cha patimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…