Mapigo ya moyo kuongezeka, kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu ninapotembea kwenye mwinuko.

exertional dyspnea, machief wamemaliza juu hapo.. kila la heri.
 
Hapo hakuna ramli ni lazima uende kumuona daktari tu.

Hizo ni dalili za Congestive Cardiac Failure (CCF) moyo kushindwa kufanya kazi inavyopaswa kutokana na sababu fulani.

Dalili za upungufu wa damu. Leo Hb

Dalili za mapafu kuwa shida aidha kujaa maji.. Pleural effusion.

Dalili ya shinikizo la damu ....Hypertension

Ukifanyiwa vipimo kadhaa kama Chest xray,BP check up, Hb level, ECHO,ECG, RFT, LFT, CBC tatizo linaweza kujulikana
 
Mkuu nashukuru sana kwa elimu yako japokuwa sio mimi mwenye uzi. Asante.
 
Mda mwingine ni heri ukanyamaza tu kimya na kuwa msomaji
Hapana, she is right you know, kwani ujauzito huweza leta mabadiliko mengi mwilini (physiologic changes) na huweza sababisha vitu kama upungufu wa damu, shinikizo la damu, pressure kushuka, kisukari na kadhalika na hizo dalili zinaendana kabisa na hizo condition.
 
Reactions: nao
Hio ni blood pressure mkuu wahi tu hospital uka cheki
 
Nadhani angiogram ni muhimu sana waangalie LMCA, LAD, ramus intermedius, LCx, RCA etc
 
[emoji106]
 
Asante mkuu nilipima hb vipimo vikaomesha imeshuka hadi 6.6!
Sasa natumia vidonge vya folic acid, hemovit syrup na pia natumia juisi ya lozera kama nilivyoshauriwa na daktari wangu.

Tatizo langu ni kwamba nina stomach ulcers ambazo zilibreed kwa ndani na kunisababishia kadhia hii.
 
Mbona umelimbikiza vipimo vingi kiasi hiki?, what are your differentials?
 
What is the most likely diagnosis based on few information given, are you suggesting anaemia?
 
Mkuu nenda hospital kajaribu kuchek ukubwa wa moyo...hilo tatizo mama yangu alikuwa nalo Na dalili ulizozitaja Ni hzohzo.Wahi hospitali ili uanze tiba mapema Hzo Ni dalili za moyo kuwa mkubwa japo ukiwahi matibabu unapona kabisa.
NI HOSPITAL GANI MKUU MAMA YAKO ALIENDA?NA JE ALIPONA KWA KUMEZA DAWA AU ILIKUAJE?
 
Yupo sawa unapokuwa mjamzito kujisikia hivyo ipo sana haswa mimba ikiwa changa kwa baadhi


Shida ni kua amejuaje kama ni wa kike???
Ndio maana ikaja mambo mengine ni vema kunyamaza maana kuleta jokes kwenye jukwaa kama hili lzm tukushangae.
 
Nisaidie namba yako ya watsap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…