Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Fainali wanacheza akina nani mkuu? naombakujuaTeh teh Simba vs yanga kugombea nafasi ya tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali wanacheza akina nani mkuu? naombakujuaTeh teh Simba vs yanga kugombea nafasi ya tatu
Nipe matokeo ya YangaTeh teh teh wakubebwa muwa unanoga teh
Kijana anatisha, tumekubali yaishe Mkuu. Mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Turejee kwenye ligi tuendelee.Gafla vipoint sina nmerudi jangwani ee
Nmeshindwa kufika final kwa penalty nmetoka ee
Busungu penalt amekosa mwaishuya ndo hatareeee
Kamusoko limebaki jina mirasta ukanyoeeee
Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matam
Leo maadui zangu ni mitusi kwa instagram
Manji boss wangu eti nae hanifaham
Hata jeny muro nikimpigia ananifokea kama salamu
Na magazeti ya nyumban kwa kukusabai siunajuaga
Utasikia tafaran eti simba kwa mtibwa wamemwaagwa
Na venye tulivo wanyonge tabia ya kuwajibu hatunaga
Kama naziona zile 5 za zamani tulizo wafungaga
Ooh nayosema yana mana sababu hakuna anaejua kesho
Anayepanga ni rabana ila ameificha ni komfidesho
Ukisali omba sana jeny muro asije kuwa kochekesho
Mana rafiki wa Jana ndio adui mkubwa keshoo.......
Wakuu zangu.. cnjona wa ukae mkolaj Frank Wanjiru yahoo joefrancy Makoye Matale n.k mnaonaje kipaji cha huyu kijana?
Easy come,easy go sir teh teh naona mmemadrikika teh teh kerrGafla vipoint sina nmerudi jangwani ee
Nmeshindwa kufika final kwa penalty nmetoka ee
Busungu penalt amekosa mwaishuya ndo hatareeee
Kamusoko limebaki jina mirasta ukanyoeeee
Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matam
Leo maadui zangu ni mitusi kwa instagram
Manji boss wangu eti nae hanifaham
Hata jeny muro nikimpigia ananifokea kama salamu
Na magazeti ya nyumban kwa kukusabai siunajuaga
Utasikia tafaran eti simba kwa mtibwa wamemwaagwa
Na venye tulivo wanyonge tabia ya kuwajibu hatunaga
Kama naziona zile 5 za zamani tulizo wafungaga
Ooh nayosema yana mana sababu hakuna anaejua kesho
Anayepanga ni rabana ila ameificha ni komfidesho
Ukisali omba sana jeny muro asije kuwa kochekesho
Mana rafiki wa Jana ndio adui mkubwa keshoo.......
Wakuu zangu.. cnjona wa ukae mkolaj Frank Wanjiru yahoo joefrancy Makoye Matale n.k mnaonaje kipaji cha huyu kijana?
FT: Mtibwa 1-3 URA....kwani leo hapakua na mechi ya fainali?!! duh..!!
kweli Simba na Yanga ndio wenye mpira Tz!
Hawa hucheza Moira wakikutana na simba...FT: Mtibwa 1-3 URA.
... na Yanga pia. Hukomaa hadi nguvu ya ziada itumike kuwaangamiza.Hawa hucheza Moira wakikutana na simba...
Kama kale ka timu ka Mwanza kanakopanda ligi kuu na kushuka.Hawa hucheza Moira wakikutana na simba...
Single imetulia mpaka bhaaassssGafla vipoint sina nmerudi jangwani ee