Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Acha kukariri, unaweza kufeli mtihani vibaya sana. Alama yoyote yaweza kuwekwa cha msingi kuwe na 'ufunguo' wenye maana ya hiyo alama. Rejea kwenye post yangu uone kama sikuweka ufunguo! Poor Great Sinker!
...hebu jifunze kwa wenzako,acha kuweweseka...tazama sehemu tofauti ujue maana,usijilishe kasa na maneno yako ya kwenye kanga!
 
URA wameongeza jingine kupitia kwa Villa Oromchan 21'

JKU 1-2 URA
 
Last edited:
JKU 1-3 URA Villa Oromchan 77'
 
Last edited:
FT:JKU 1-3 URA.
 
Last edited:
Dak. 54: Simba 1 - 2 Jamhuri
 
Dak. 77: Simba 2 - 2Jamhuri.
 
Yanga na Mtibwa ndo nazipa nafasi kubwa kwenye michuano hii.
 
Naipa nafasi Club yangu kipenzi cha roho yangu Mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans FC kuchukua kombe hili.
Yanga haishikiki,hadi raha.
Huyu Yanga kule Arsenal,mwaka huu nimenenepa sana kwa raha za clubs zangu hizi zinazonipa.
 
Wapi @Ntaluke.N?Unakumbuka nilikuambia nini kuhusu Arsenal?
Hata ukijikausha,habari unazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…