Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huu utakuwa uzi rasmi wa taarifa zote kuhusu mapinduzi cup 2021, michuano inayofanyika pale Unguja, Zanzibar kwaajili ya kusherehekea miaka 57 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Leo siku ya ufunguzi matokeo ni;
Mtibwa 1-0 Chipukizi
Yanga 0-0 Jamhuri
Karibuni sana...
View attachment 1669905
Leo siku ya ufunguzi matokeo ni;
Mtibwa 1-0 Chipukizi
Yanga 0-0 Jamhuri
Karibuni sana...
View attachment 1669905