Mapinduzi Cup 2021

Mapinduzi Cup 2021

Mashindano Yana hadhi kubwa Ila waamuzi Wana viwango duni. Wanao simamia aya mashindano wanatakiwa warekebishe matatizo ya waamuzi kwakua hii ni changamoto ya Kila yanapo fanyika mashindano ayo.
 
Wazanzibar wanajua mpira tatizo nguvu tu hawana
Kwani wrestling ile ule ni mpira sio mieleka mpira ni akili na uwe na punzi na vile vile uwe mwepesi ktk control na hilo ndio tatizo lenu la kuona mpira ni maguvu tu .
 
Kwani wrestling ile ule ni mpira sio mieleka mpira ni akili na uwe na punzi na vile vile uwe mwepesi ktk control na hilo ndio tatizo lenu la kuona mpira ni maguvu tu .
Mchezaji Kuwa na nguvu haimaanishi asiwe na akili, pumzi na mwepesi. Na mchezaji mwenye nguvu, akili,mwepesi ni wa faida zaidi kuliko anaekosa nguvu na akawa na hivyo vingine. Au unasemaje kocha?
 
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom