Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mwamuzi kachezesha vizuri usilete malalamiko ya kiutopolo zenjiMashindano Yana hadhi kubwa Ila waamuzi Wana viwango duni. Wanao simamia aya mashindano wanatakiwa warekebishe matatizo ya waamuzi kwakua hii ni changamoto ya Kila yanapo fanyika mashindano ayo.
TFF imejaa Simba watupuMashindano Yana hadhi kubwa Ila waamuzi Wana viwango duni. Wanao simamia aya mashindano wanatakiwa warekebishe matatizo ya waamuzi kwakua hii ni changamoto ya Kila yanapo fanyika mashindano ayo.
Mashindano Yana hadhi kubwa Ila waamuzi Wana viwango duni. Wanao simamia aya mashindano wanatakiwa warekebishe matatizo ya waamuzi kwakua hii ni changamoto ya Kila yanapo fanyika mashindano ayo.
...Jamhuri kumbe ni timu nzuri halafu ipo daraja la kwanza
TFF imejaa Simba watupu
Leo bahasha zimekataliwa huko Zenji.Mashindano Yana hadhi kubwa Ila waamuzi Wana viwango duni. Wanao simamia aya mashindano wanatakiwa warekebishe matatizo ya waamuzi kwakua hii ni changamoto ya Kila yanapo fanyika mashindano ayo.
Sawa..Wananchi wabanwa na Jamhuri
Watopolo walalamishi kama changudoa aliyekopwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani wrestling ile ule ni mpira sio mieleka mpira ni akili na uwe na punzi na vile vile uwe mwepesi ktk control na hilo ndio tatizo lenu la kuona mpira ni maguvu tu .Wazanzibar wanajua mpira tatizo nguvu tu hawana
Mchezaji Kuwa na nguvu haimaanishi asiwe na akili, pumzi na mwepesi. Na mchezaji mwenye nguvu, akili,mwepesi ni wa faida zaidi kuliko anaekosa nguvu na akawa na hivyo vingine. Au unasemaje kocha?Kwani wrestling ile ule ni mpira sio mieleka mpira ni akili na uwe na punzi na vile vile uwe mwepesi ktk control na hilo ndio tatizo lenu la kuona mpira ni maguvu tu .
Imekuwa nzuri kwa sababu imekutana na timu mbovu...Jamhuri kumbe ni timu nzuri halafu ipo daraja la kwanza