Mapinduzi cup 2022 imeanza. Namungo wameanza kwa ushindi

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
3,984
Reaction score
4,132
Ufunguzi umeanza leo ambapo Namungo wameanza vizuri kwa ushindi wa kuusaka ubingwa.

Simba, Yanga na Azam ndio timu zinazopigiwa chapuo kuibuka na ubingwa.

Fainali ni tarehe 13 januari pale pale aman stadium.

Karibuni kwa taarifa zaidi.
 
Pablo anaenda kuimarisha kikosi kupitia haya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…