makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
KOSI PANA LACHABANGWA.Wangekuwa makini wangekuwa washatupiga hata 3, ila yote haya kayataka kocha. Hiki siyo kikosi cha kucheza fainali yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOSI PANA LACHABANGWA.Wangekuwa makini wangekuwa washatupiga hata 3, ila yote haya kayataka kocha. Hiki siyo kikosi cha kucheza fainali yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu si bora ww upo nafasi nzur kwenye msimamo... Sisi sasa ni shiiidaAfadhali yako we Arsenal, ndugu yako hapa Man U nina maisha magumu hakuna mfano, nilitegemea simba huku atanifariji kumbe nae wale wale tu.
Huyu kocha anapima upepo wa Wanasimba, ngoja waaanze kucheza na majukwaa tupu ndio ataelewa kuwa hatupendagi ujinga. Rashid Juma, Ndemla na Shamte ndio wa kucheza fainali kweli[emoji24][emoji24][emoji24]
Mmeeshinda njaaHii mechi tunashinda, tatizo tu wachezaji wetu wanaboa na kutupa pressure pasipo ulazima.
Badala ya kubeba kombe simba imebeba mimbaKweli kabisa, mambo kama haya harafu mtu anakuja anasema kocha alikuwa anapangiwa kikosi , mkisema mumuachie apange yeye anawaletea maajabu haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba anacho weza kubeba mimba sio kombeNdio utani wenyewe wa simba na yanga, unajifanya huyajui maneno ya Manara anavyotuchambaga, na siku anawachamba hadi wachezaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapataje mimba? Kwa Bluetooth?
Bado wazihitaji Mkuu. 🙈🙈Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni!
Hahahahaaa. LolNani anathubutu ujinga huo!