Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Manara aende Zanzibar kwenda kuchukua kombe maana kazidi maneno mengi mno kila kitu anajua yeye sasa kapambana na Kifaru cha Mtibwa ambaye hajui kikosi kipana
 
Kombe la Mapinduzi Simba imetoka sare na Azam uwanjani na kuchapwa na Mtibwa kilaini kabisa.

Kama mechi za mashindano ya Kombe la Mapinduzi yangefanyikia Bara na kuchechezeshwa na marefa wa Bara, Simba ingelichukuwa Kombe la Mapinduzi kwa mbeleko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…