Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

mlikuwa mkiwapa akina nyoso na yule mwenzake aliyekimbia kucheza soka norway na kurudi bongo..

auumesahau mkuu, si ndio ilikuwa boost kwa wachezaji weni kipindi kile?
Vp yule aliyekimbia sauzi na kuangukia kyela????
kaekeza kwenye vitobo tu..
 
Mpaka ifikapo mwezi wa 5 kitu pekee ambacho mtakuwa mnajivunia nacho ni ubingwa wa vijana tu.

michuano ambayo sijui kama ina tija na manufaa mno kwenye vilabu vyetu.
We nahis soka umeanz kushabikia leo. Soka la vijan halina tija?daah
 
Bila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.

1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine

Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.

1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A

Yanga SC vs URA

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B

Azam FC vs Matopeni FC

(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)

FAINALI:-

AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.

Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.

YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.

Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .

wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....

Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.

Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.

NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Nimependa uchambuzi wako ila umesahau ulipoweka ya african lyon na prison ukasahau ya stand na mbeya city.. Au yale hayakuwa matokeo?
 
Mwenye matokea mechi ya Jana kati ya azam na jamhuri plz
 
Kwa Yanga hii mtu yoyote anaebisha kuwa haichukui Ubingwa inabidi akapimwe akili
Hakuna haja ya kupimwa akili....Mtu akibisha huwa tayari ni wa kumchukulia ni mwenye mapungufu ya akili.
 
Vp yule aliyekimbia sauzi na kuangukia kyela????
kaekeza kwenye vitobo tu..
Mkuu.

HAPO UNAGUSA PABAYA SANA.
Jamaa amebeba ndoo lukuki( akitanguliwa na Nadir Haroub) akiwa Dar es salaam Young Africans SC kuliko mchezaji mwingine yeyote yule...aliyewahi kuchezea Matopeni FC.

Acha akawape inspiration vijana wengine wa jijini mbeya.

Ila najua mkikutana naye ,lazima awaweke kamoja. si unajua jamaa amewamwagia mengi sana kipindi kile yupo kwenye peak.

hahahahha
 
Nimependa uchambuzi wako ila umesahau ulipoweka ya african lyon na prison ukasahau ya stand na mbeya city.. Au yale hayakuwa matokeo?
Nimezungumzia matokeo ya Matopeni FC....

Ukitaka nitaje matokeo kwa ujumla nadhani tutajaza server za JF....

kuna timu kibao zimefungwa huko.....kuanz kutaja naona niusumbufu...na mimi sipendi usumbufu,
 
Endeleeni kujifariji mkuu bebeni makombe yote ikibidi hadi la dunia
 
We nahis soka umeanz kushabikia leo. Soka la vijan halina tija?daah

Nazungumzia kiufundi zaidi.

kwenye ligi ambayo ina dumu kwa miezi 3, ligi ambayo tungependa kuona vijana waku develop talanta zao.

unategemeaje kupata wakina walcott, sterilng, Ox, rashford.?

haina tofauti na ndondo cup, yaani ni kama platform ya ku expose unseen talents, na wala hailengi kudevelop.

ni kwa bahati sana kuwapata akina Ulimwengu kupitia mfumo huu wetu sisi.
 
Endeleeni kujifariji mkuu bebeni makombe yote ikibidi hadi la dunia
Umesahau kidogo!

sisi huwa hatujifariji, nyinyi ndio magwiji wa kujifariji....Mnakumbukahuko nyuma mmejifariji mara ngapi kutwaa Kombe?

nadhani wakumbuka mno.

sisi ni watu wa 'kujihakikishia' kombe.
 
Labda ufanye makusudi kujifungisha mechi moja ili umalize nafasi ya pili...

hapo utaweza kukutana na Yanga SC inayoshika nafasi ya kwanza kwenye group lao..

sidhani kama mpo tayari kutolewa na Yanga sc nusu fainal..
VIPI BADO UNA HIZO NDOTO?.
 
Yupo kafungwa nepi. Kaharisha kila mahali. Unafikiri 4G ni mchezo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli sio mchezo
596ae5fb4062235f6356938b23399974.jpg
 
Bila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.

1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine

Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.

1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A

Yanga SC vs URA

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B

Azam FC vs Matopeni FC

(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)

FAINALI:-

AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.

Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.

YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.

Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .

wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....

Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.

Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.

NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
eb1c20b3126f2e6644e6153f22f5d340.jpg
unasubiria embe chini ya mnazi mzeiya, poleeee
VIPI BADO UNA HIZO NDOTO?.
 
Mimi Simba lakini kwa kweli huu uzi unaninyong'onyesha haswa!jamaa mnazu wa yanga lakini katathmini vyema!wanasimba tusibishe tugombane na benchi la ufundi ili tuwe na matokeo ya kujiamini!wenzetu wantupua mibao kama hawana akili nzuri bwana!

Upo Sahihi Manake Mwenye Akili Hapigwi Goli Nne.... 😀😀 Kwahiyo YeboYebo Hawana Akili Kabisa...
 
Back
Top Bottom