Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Chura wa kihesa ametokeza. Mafuriko ya jana sio mchezo.
 
Mkuu una roho mbaya. Mtu kavalishwa nepi aje hapa kufanya nini?Panyeshapo ndipo pavujapo. Isingenyesha tusingejua panapovuja. Ahsante Azam.

Mkuu Niko Katika Kufanya Utafiti Kuhusu Kuwa Huyu Jamaa Kama Yupo Hai! Ninamwita Kama Yupo Hai Ajitokeze isijekuwa 4G zimemfanya Kajinyonga na sisi TunaQuote Maiti bila ya Kujua..!! [emoji2] [emoji2]
 
Mtoa mada jifunzee sio unakurupuja hata kuchambua mpira hujui ....nyambafuuui
 
Uzi umeingiliwa na mikia,soon wenye uzi wetu tutarudi humu
Ni mashabiki wa msimu tu hao..

huwa wanaonekana pale penye sababu ya kuonekana! kuna wengine wameanza kuonekana kwenye huu uzi baada ya matokeoya yanga dhidi ya Azam . hahahahah
 
4gggggg..
Mkuu unaonekana umetoka facebook. huku tumejaa baba zako wadogo , bisha hoja kwa hoja. hizo picha haziwaudhi mashabiki wa yanga pekee hata baba zako wadogo ambao ni mashabiki wa simba sidhani kama wako upande wako.

sikuzuii kuendelea, ilanakuoshamacho tu.

karibu.
 
Inawezekana kajinyonga baada ya matokeo ya 4G embu fuatilieni tujue Dem yuko hai?
Mkuu raha zote hizo wanazo nipa Yanga SC nitaanzajje kujinyonga.

wamenipa raha kwa miaka minne.......

nikuulize tu wewe! miaka yote minne kitandani ulikuwa unauguza ugonjwa gani?
 
Mkuu! haujachelewa.
kama unatokeakihesa mudahuu na hutaki ukose mechi live. fanya kama unavizia malori pale ipogolo chini. nina uhakika utawasilihapa dar majira ya saa 3 asubuhi.

saa 4 unavuka maji kwenda zenji, kushuhudia kile ambachohauwezi kukiamini.
Chura wa kihesa ametokeza. Mafuriko ya jana sio mchezo.
 
Upo Sahihi Manake Mwenye Akili Hapigwi Goli Nne.... πŸ˜€πŸ˜€ Kwahiyo YeboYebo Hawana Akili Kabisa...
Yale matokeo ya yeboyebo na lamba lamba yamenipunguza hofu kwa kweli !
Nadhani wameturahisishia kesho tunabaka!
 
Sina baba zang wanaopenda rangi ya kijan wewe wa wap wewe?jitu ziiima .ushasema huku n watu wazima sa wasichojua nin kwa hyo pich?au labda wewe unayevaa nep ndo waona hajabu.......bao nne chali
 
Kwi kwi kwi kwi........ πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€
4G FC nadhani Watajipiga Ban Kuja Zanzibar Manake Kila Wanavyojitahidi Wanajikutia Miamala Haifanyi Kazi.....
 
Hahaha..nlikwambia wachie wenye fani yao yakuchambua mpira ..mana uliyotabir hakuna hata lililowezekana...acha kuropokaropoka wew nyambafuuuuuuuu..nahis utakuwa ushakunywa sumuuui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…