Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una roho mbaya. Mtu kavalishwa nepi aje hapa kufanya nini?Panyeshapo ndipo pavujapo. Isingenyesha tusingejua panapovuja. Ahsante Azam.
Mtoa mada jifunzee sio unakurupuja hata kuchambua mpira hujui ....nyambafuuuiBila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.
1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine
Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.
1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A
Yanga SC vs URA
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B
Azam FC vs Matopeni FC
(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)
FAINALI:-
AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.
Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.
YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.
Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .
wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....
Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.
Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Kama ambavyo ulivyokurupuka wewe ku'comment mpk neno kukurupuka ukaandika KUKURUPUJA!Mtoa mada jifunzee sio unakurupuja hata kuchambua mpira hujui ....nyambafuuui
4gggggg..Kama ambavyo ulivyokurupuka wewe ku'comment mpk neno kukurupuka ukaandika KUKURUPUJA!
Ni mashabiki wa msimu tu hao..Uzi umeingiliwa na mikia,soon wenye uzi wetu tutarudi humu
Mkuu unaonekana umetoka facebook. huku tumejaa baba zako wadogo , bisha hoja kwa hoja. hizo picha haziwaudhi mashabiki wa yanga pekee hata baba zako wadogo ambao ni mashabiki wa simba sidhani kama wako upande wako.4gggggg..![]()
Mkuu raha zote hizo wanazo nipa Yanga SC nitaanzajje kujinyonga.Inawezekana kajinyonga baada ya matokeo ya 4G embu fuatilieni tujue Dem yuko hai?
Chura wa kihesa ametokeza. Mafuriko ya jana sio mchezo.
Yale matokeo ya yeboyebo na lamba lamba yamenipunguza hofu kwa kweli !Upo Sahihi Manake Mwenye Akili Hapigwi Goli Nne.... 😀😀 Kwahiyo YeboYebo Hawana Akili Kabisa...
Sina baba zang wanaopenda rangi ya kijan wewe wa wap wewe?jitu ziiima .ushasema huku n watu wazima sa wasichojua nin kwa hyo pich?au labda wewe unayevaa nep ndo waona hajabu.......bao nne chaliMkuu unaonekana umetoka facebook. huku tumejaa baba zako wadogo , bisha hoja kwa hoja. hizo picha haziwaudhi mashabiki wa yanga pekee hata baba zako wadogo ambao ni mashabiki wa simba sidhani kama wako upande wako.
sikuzuii kuendelea, ilanakuoshamacho tu.
karibu.
Ulikuwa na Kiiza ukashindwa kunifunga, Leo umempata Luizio eti utamfunga Yanga SC!
Hahaha..nlikwambia wachie wenye fani yao yakuchambua mpira ..mana uliyotabir hakuna hata lililowezekana...acha kuropokaropoka wew nyambafuuuuuuuu..nahis utakuwa ushakunywa sumuuuiBila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.