Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Mkuu umekimbia uzi wako? Niambie ni mambo mangapi yametimia katika uchambuzi wako.. Pia usisahau kutujuza matokeo ya azam na yanga na pia ni nani aliongoza kundi b. Kabla hujasahau tuambie simba ameshatua dar kuendelea na ligi au bado anawasubiri yanga wacheze fainali.. Malizia na ura kacheza semifinal na nani vileee
 
Tatizo la kuvamia fani za watu ndo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…