Alistides Katunzi
Senior Member
- Oct 30, 2016
- 142
- 84
Hahahahah mashabiki wa yanga wanajua kujifuraisha aseeee...hongera bana kwakutusindikizaaUlikuwa na Kiiza ukashindwa kunifunga, Leo umempata Luizio eti utamfunga Yanga SC!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah mashabiki wa yanga wanajua kujifuraisha aseeee...hongera bana kwakutusindikizaaUlikuwa na Kiiza ukashindwa kunifunga, Leo umempata Luizio eti utamfunga Yanga SC!
Mkuu umekimbia uzi wako? Niambie ni mambo mangapi yametimia katika uchambuzi wako.. Pia usisahau kutujuza matokeo ya azam na yanga na pia ni nani aliongoza kundi b. Kabla hujasahau tuambie simba ameshatua dar kuendelea na ligi au bado anawasubiri yanga wacheze fainali.. Malizia na ura kacheza semifinal na nani vileeeBila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.
1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine
Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.
1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A
Yanga SC vs URA
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B
Azam FC vs Matopeni FC
(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)
FAINALI:-
AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.
Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.
YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.
Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .
wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....
Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.
Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Tatizo la kuvamia fani za watu ndo hiliBila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.