Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie

Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi kutoka kikosi cha vijana.

Personal view

Singida licha ya kwamba ana kikosi kikubwa au kile cha kwanza anachokitumia katika ligi kuu lakini binafsi simuamini sana.

============

Club ya Yanga yaaga rasmi mashindano ya Mapinduzi Cup baada ya mechi kumalizika kwa sare ya 1-1

Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga

Singida atakutana na Azam (washindi mara 5 wa kombe hili) kwenye hatua inayofuata

Naam ulikuwa nami Scars kutoka mwanzo mpaka hapa mwisho nikishirikiana na wadau wengi wa jukwaa hili, niwashukuru sana kwa mchango wenu

Bye bye
 
Hawa wageni rasmi wanaumwinyi sana

Vikosi vimefika uwanjani muda mrefu vimebaki vimesimama tu kama bisimini kuwasubiria wageni rasmi kupiga picha za pamoja

Halafu tunawaona wanakuja kwa kujivuta vuta wakati muda unazidi kwenda
 
Hawa wabrazili nina wasiwasi nao
 
7'
Singida wanapata freekick jrani na lango
 
Bruno Gomez anapiga freekick lakini Singida wenyewe wanaokoa shambulizi
 
Back
Top Bottom