Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapana ila wamekoseaUnadhani ndio tatizo lilipo?
Heee hapa ikojeeBruno Gomez anapiga freekick lakini Singida wenyewe wanaokoa shambulizi
Silva anajifanya mfia timuHawa wanajisahau sana si umeona hilo shambulizi
Umefuata nini huku π€Heee hapa ikojee
Popote ulipo nipoUmefuata nini huku π€
πππYani yule yule beki tangu kasajiliwa naamini kitu cha maana kakifanya leo
Huko nyuma alikuwa anaruka ruka tu
Urudi tukisawazisha basi πPopote ulipo nipo
Mi namuona bora kuliko Morrison.Sijui kwanini huyu Ambundo simkubali kabisa
Mkuu idea yako nzuri sana πYanga tokeni huko zanzbar mkajiandae na michuano midogo ya caf
Tunatofautiana sana. Morisson anajua mpira sema ujeuri tuMi namuona bora kuliko Morrison.
Huwa simkubali Morrison.