Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo namba tatu sijaikubali mkuu. Italainisha maisha mana kusafirisha behewa LA cement kwa TRC LA kubeba tani 40 aka 800 cement bags ni rahisi sana kuliko Lori semi ya kukubebea Sementi from Dar to Mza so gharama ikishuka hata bei itashuka sana kwa mlaji Wa mwisho.kuzifahamu faida za SGR kwetu kunahitaji ubongo mkubwa sana. Huwezi kufahamu uwekezaji wa SGR utatuiingizia faida gani mpaka kwanza ufahamu hesabu zifuatazo:
1. Gharama halisi ya kuijenga SGR ni hela ngapi
2. Tutasafirisha nini kutoka na kurudi DSM kwa njia ya SGR
3. Hasara gani wafanyabiashara wa magari ya mizigo na abiria na wataingia wamiliki, wafanyakazi wa magari hayo, wafanyabishara kandokando ya barabara wanaotegemea uwepo wa magari hayo njiani hkama vile mahoteli, wafanyabiashara ndogondogo wa vitunguu, nyanya, kuku, nk njiani yatakayopisha nafasi ya SGR kufanya kazi za malori na mabasi hayo na na serikali kukosa kodi ya malori na mabasi ya njia hiyo.
4. Wauza spea za malori na mabari
Nakubaliana na wewe. Hata mafuta. Treni inaweza pakia zile lori za mafuta nyingi sana.Hiyo namba tatu sijaikubali mkuu. Italainisha maisha mana kusafirisha behewa LA cement kwa TRC LA kubeba tani 40 aka 800 cement bags ni rahisi sana kuliko Lori semi ya kukubebea Sementi from Dar to Mza so gharama ikishuka hata bei itashuka sana kwa mlaji Wa mwisho.
Hata nauli dar to Mza itashuka mkuu.
Hayo malori itabidi washindane sana na sgr pia yanaharibu sana roads zetu mkuu.
Kila kitu kina impacts both hasi and chanya
Kwa sehemu kubwa gari imeundwa kwa chuma. Chases, components za engine, container, bati za body kwa baadhi ya magari, bolt, nuts n.k.Mkuu mbona unakoroga mambo sasa, mbona kama unachanganya idhaa? Magari yanatengenezwa na chuma? Makontena ni chuma kile?
Unaelewa tofauti kati ya bati, chuma na aluminium?
Unakoroga mambo. Hivi unadhani yale malori ya mizigo yametengenezwa kwa plastic? Chesses gari gani inatengenezwa kwa bati au aluminium? Be seriousMkuu mbona unakoroga mambo sasa, mbona kama unachanganya idhaa? Magari yanatengenezwa na chuma? Makontena ni chuma kile?
Unaelewa tofauti kati ya bati, chuma na aluminium?
Huku tunapoteza fedha nyingi kutengeneza mkonga wa mawasiliano ili kuboresha mawasiliano nchi nzima wakati huohuo tunapoteza hela nyingine tunahamia dodoma kwamba Dar es salaam ni mbali sana kwenda kwa miguu na mabasi. Tulidhani mkonga ndilo lingekuwa suluhisho ya kuifanya tanzania iwe kijiji.Acha tuhangaike na misplaced priorities, kama serikali kuhamia Dodoma.
maana huwezi kuficha kipande cha madini ya chuma kwenye begi lako kama dhahabu na almasi.
Hapana mkuu, hapa tunaongelea kile chuma halisi kinachotumika kujengea viwanda, magari, vifaa vizito vya uchimbani, makontena ya mizigo, matrekta, reli, mabehewa, nk
Hivi unasemea hivi vyuma tunavyo uza 1kg = 300tsh/= tuchimbe madini yake ambayo ni malighafi ?
kuzifahamu faida za SGR kwetu kunahitaji ubongo mkubwa sana. Huwezi kufahamu uwekezaji wa SGR utatuiingizia faida gani mpaka kwanza ufahamu hesabu zifuatazo:
1. Gharama halisi ya kuijenga SGR ni hela ngapi
2. Tutasafirisha nini kutoka na kurudi DSM kwa njia ya SGR
3. Hasara gani wafanyabiashara wa magari ya mizigo na abiria na wataingia wamiliki, wafanyakazi wa magari hayo, wafanyabishara kandokando ya barabara wanaotegemea uwepo wa magari hayo njiani kama vile mahoteli, wafanyabiashara ndogondogo wa vitunguu, nyanya, kuku, nk njiani yatakayopisha nafasi ya SGR kufanya kazi za malori na mabasi hayo na na serikali kukosa kodi ya malori na mabasi ya njia hiyo.
4. Wauza spea za malori na mabari
Umenena vyema.Ila ukae ukijua hakuna hata muwekezaji atakushauri uwekeze kwenye uvunaji wa chuma chako .Hii ni kwa sababu wawekezaji wote wakubwa kutoka nje wana watu wazito nyuma yao.Wataongea yote kuanzia kwenye makaa ya mawe,gas,dhahabu ,shaba na sasa bati lakini kwenye uvunaji wa chuma zinapigwa chenga za hapa na pale.Mambo yote kwenye chuma na ndiyo maendeleo yenyewe.Mkifanikiwa kuchimba na kuchakata chuma basi tena mtakuwa kama wao.Chuma ndio madini mama duniani, mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo. Tena huna haja ya kutafuta mwekezaji kwenye madini ya chuma chimba mwenyewe.
Taifa lengo malengo litachimba chuma kwanza hata kabla ya dhahabu na nickel. Yaani kwa umuhimu itaanza chuma na kufuatiwa na makaa ya wawe, shaba, bati na dhahabu.
Chuma ndiyo itatumika kutengenezea zana kuchimbia madini mengine na njia za kusafirisha madini mengine.
Inaonekana uchimbaji wa chuma haupewi msukumo mkubwa kwakuwa hauna maslahi kwa viongozi mmojammoja, maana huwezi kuficha kipande cha madini ya chuma kwenye begi lako kama dhahabu na almasi.
Faida yake ndogo sana kulinganisha na madini mengine, pia inapatikana kwa wingi...tatizo mashine ya kuyeyusha na kufanya designing ya vifaa
Karibu udongo wote una chuma nyingi tu