Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao.
Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama kafumaniwa na mke wa mtu. Omar Albashiri aliondolewa akiwa haamini kinachotokea mzee Robert Mugabe walimstahi tu Ila walimwambia mzee ondoka kwa heshima kabla hatujakiwasha .
Hivyo wapenda amani na demokrasia wenzangu popote mlipo mjue tu kwamba machozi yenu yanayobubujika Leo kwaajili ya uonevu wa wanasiasa Basi mjue kwamba kiboko ya wanasiasa watesi ni wanajeshi wa majeshi ya ulinzi ya nchi husika. (Sio polisi)
Ni hayo kwa leo .