Lastborn Mkubwa
Member
- Jul 23, 2026
- 22
- 19
KUNA VITA KUBWA INAYOENDELEA NDANI YA AKILI YA KILA KIJANA...
1. Wengine wanaamini hawawezi.
2. Wengine wanasubiri ajira.
3. Wengine wanaogopa kuanza.
Lakini ukweli ni huu... Maisha hubadilika pale fikra zinapobadilika.
📘 MAPINDUZI YA FIKRA; Njia ya Kijana Kufikia Uhuru wa Kiuchumi
Kitabu hiki si cha kusoma na kusahau. Ni mwongozo wa kukusaidia:
✅ Kuvunja imani zinazokuzuia kufanikiwa.
✅ Kugundua thamani na uwezo ulionao.
✅ Kuona fursa mahali ambapo wengine wanaona matatizo.
✅ Kujenga fikra za kujitegemea na kuchukua hatua.
"Hakuna mtu atakayekuja kubadilisha maisha yako. Uamuzi wa kubadilika unaanzia kwako."
Kama wewe ni kijana unayetafuta mwelekeo wa maisha, unayetaka kujijenga kiuchumi, au unayetaka kuacha kusubiri na kuanza kutengeneza fursa zako mwenyewe, basi kitabu hiki ni kwa ajili yako. Anza mapinduzi ya kweli leo. Anza na fikra zako.