Mapinduzi ya kilimo

Mkolosai2020

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
22
Reaction score
31
Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu.

Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana na sera mbovu zisizo rafiki katika uendelevu, sera nyingi hulenga kwa kipindi fulani na kwa lengo fulani, na hutumia mifumo mibovu ndio maana menejimenti yake na tathmini yake huleta matokeo hafifu.

Tunao wabunifu watu binafsi mashirika binafsi na donors, lakini tunashindwa kufikia lengo kwakuwa mfumo utumikao ni harifu na siyo shirikishi.

Mfumo wa RIPATI unazodalili tosha za kufanya kilimo kuwa endelevu na imara zaidi, ni mfumo unaowajengea uwezo binafsi wakulima kujitegemea na kujiendeleza kwa kutumia teknolojia enyeji kwa mazingira yetu.
 
Mkuu hii RIPATI ndio Nini?
 
Mkuu hii RIPATI ndio Nini?
Huu ni mfumo shirikishi wa teknolojia ya kilimo kati ya wakulima na maafisa ugani. Yaani mkilima anajua nini na afisa ugani anajua nini, kabla ya innovation mpya
 
RIPATI Ndio wale wana partiner na RECODA? hakuna kitu pale ni sanaa na maigizo.

Sikiliza hakuna Mapinduzi ya kilimo yataletwa na NGOs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…