hapo sasa golikipa si inabidi awe na mapafu ya mbwa kuwahi golini kama timu inashambuliwa ?View attachment 944687
Mchezaji wa zamani wa PSG ya Ufaransa ambaye kwa sasa ni Kocha wa kikosi cha PSG cha chini ya miaka 19, Thiago Motta anapanga kufanya mapinduzi katika mifumo ya Soka kwa kuja na mfumo wa 2-7-2 ambapo Golikipa atacheza kama kiungo na kuifanya timu icheze kwa kushambulia zaidi.
Povu la nini Mkuu?huo mfumo unawafaa sana Mikia.Kuna jamaa hapa utafikiri timu fulani imewabikiri mama zao. Wao kila comment inahusu hayo tu.