tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Mchezaji wa zamani wa PSG ya Ufaransa ambaye kwa sasa ni Kocha wa kikosi cha PSG cha chini ya miaka 19, Thiago Motta anapanga kufanya mapinduzi katika mifumo ya Soka kwa kuja na mfumo wa 2-7-2 ambapo Golikipa atacheza kama kiungo na kuifanya timu icheze kwa kushambulia zaidi.