Mapinduzi ya mpira barani Asia

Mapinduzi ya mpira barani Asia

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Salaam wana jamvi!

Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika kwenye WC hii

Naam, ni kweli kabisa timu kutoka Asia zilikuwa hadi zikifungwa goli saba katika WCs zilizopita na walikuwa wakitambulika kama washiriki tu nchi nyingine kujichukulia point tatu na kupata advantage ya magoli mengi ila kipindi hiki mambo yamekuwa tofauti kabisa

Binafsi kama sikoseki sijaona timu ya kutoka Asia kwenye WC hii ikifungwa goli zaidi ya tatu

Pia katika game zote ambazo timu kutoka Asia zimeshinda, zimeshinda kwa comeback ya goal moja kutoka nyuma

Saudia alishinda mbili moja dhidi Argentina haliyakuwa alianza fungwa Saudia

Case hiyo hiyo kwa Japan dhidi ya ujeruman

Case hiyo hiyo kwa japan dhidi ya Spain

Case hiyo hiyo kwa Korea dhidi ya ureno

Na ukiangalia hususani kwenye timu za waarabu kutoka Asia utaona wamebadilika utaona karibia watu watatu mpaka watano wa first eleven ni black na zinapiga kazi utaona now days wapo serious na mpira

Kwa WCs na timu nyingine za Africa zikizidi kujipanga vizuri maana kuna timu zimetoka ila zimeonesha kudeserve kuendelea kuliko hata zilizobaki(Mexico, Ghana) basi kwa WCs zijazo ile kasumba ya akina flani ndio huwa wanafika final au wanafanya vizuri Wenda tukaisahau na twaombea iwe hivyo maana timu nyingi zikiwa na equal probability chance ya kuchukua kimsingi ndio mpira unanoga

Wassalaam
 
Salaam wana jamvi!
Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika kwenye WC hii

Wassalaam
Tumeliwa Sana mikeka
 
Ni swala la muda kabla ya Afrika kufika fainali ya World cup. Ukiangalia ni timu zenye nguvu za asili. Kama Ghana,Senegal, Cameroon, Morocco, Tunisia.

Next world cup kutakuwa na timu 48. Waafrika wengi sasa hivi wanajiamini, of course Wana uwezo Kwahiyo ni swala la coaching, miundombinu, tactics.

Asia wamewaiga Ulaya vigumu kushinda world cup sasa hivi bila weusi. They are much more motivated, committed, serious than indigenous people. They have point to prove.
 
Tatizo timu za Africa mara nyingi wnasahau ile kauli ya biashara asubh mahesabu jioni. Mechi za awali Cameron imedhihirisha Hilo, unaacha kukaza mechi za awali unakuja kukaza mechi na brazili. Same to Ghana, Senegal, Morocco.
 
Coaching, Strategies, tactics.
 
Ni swala la muda kabla ya Afrika kufika fainali ya World cup. Ukiangalia ni timu zenye nguvu za asili. Kama Ghana,Senegal, Cameroon, Morocco, Tunisia.

Next world cup kutakuwa na timu 48. Waafrika wengi sasa hivi wanajiamini, of course Wana uwezo Kwahiyo ni swala la coaching, miundombinu, tactics.

Asia wamewaiga Ulaya vigumu kushinda world cup sasa hivi bila weusi. They are much more motivated, committed, serious than indigenous people. They have point to prove.
Wanaujinga mwingi na hawana discipline ya mchezo.Tutengeneze wachezaji walioelimika.Majority wamejaa sifa za kijinga.
 
Nchi nyingi za Asia zimeanza kuupa umuhimu mchezo wa Football miaka ya karibuni tu, ila kwa kweli zinakwenda kuiacha mbali sana Africa kwa muda mfupi tu ujao.
 
Siri ni kuwa na wachezaji wanaocheza ligi ulaya. Sio ligi za ndani kwa Asia na Afrika.
 
Timu za Asia wemeonyesha kuendelea, Ila rekodi za magoli mengi bado wanayo, England vs Iran matokeo 6/2.
 
Siri ni kuwa na wachezaji wanaocheza ligi ulaya. Sio ligi za ndani kwa Asia na Afrika.
Hususani Morocco japokuwa sio timu ya Asia ni ya Africa ila ni waarabu wao wamejitahidi wachezaji wao wengi sana wanacheza ulaya
 
Back
Top Bottom