Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Salaam wana jamvi!
Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika kwenye WC hii
Naam, ni kweli kabisa timu kutoka Asia zilikuwa hadi zikifungwa goli saba katika WCs zilizopita na walikuwa wakitambulika kama washiriki tu nchi nyingine kujichukulia point tatu na kupata advantage ya magoli mengi ila kipindi hiki mambo yamekuwa tofauti kabisa
Binafsi kama sikoseki sijaona timu ya kutoka Asia kwenye WC hii ikifungwa goli zaidi ya tatu
Pia katika game zote ambazo timu kutoka Asia zimeshinda, zimeshinda kwa comeback ya goal moja kutoka nyuma
Saudia alishinda mbili moja dhidi Argentina haliyakuwa alianza fungwa Saudia
Case hiyo hiyo kwa Japan dhidi ya ujeruman
Case hiyo hiyo kwa japan dhidi ya Spain
Case hiyo hiyo kwa Korea dhidi ya ureno
Na ukiangalia hususani kwenye timu za waarabu kutoka Asia utaona wamebadilika utaona karibia watu watatu mpaka watano wa first eleven ni black na zinapiga kazi utaona now days wapo serious na mpira
Kwa WCs na timu nyingine za Africa zikizidi kujipanga vizuri maana kuna timu zimetoka ila zimeonesha kudeserve kuendelea kuliko hata zilizobaki(Mexico, Ghana) basi kwa WCs zijazo ile kasumba ya akina flani ndio huwa wanafika final au wanafanya vizuri Wenda tukaisahau na twaombea iwe hivyo maana timu nyingi zikiwa na equal probability chance ya kuchukua kimsingi ndio mpira unanoga
Wassalaam