Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

Wameufyta

Akisoma maazimio ya Maseneta baada ya kikao, Rais wa Seneti, Seneta Godswill Akpabio alisema, "Seneti inatambua kuwa Rais Tinubu kupitia mawasiliano yake hakukusudia kupata idhini ya Bunge hili kwa vita kama ilivyodhaniwa kimakosa na baadhi ya watu.
 
Nyie watu akili zenu sijui Huwa mnaweka wapi,kwani ni Nigeria pekee anayetegemewa kupeleka majeshi huko, sio?
Ujinga ni mzigo sana!
Hata hao wanachama wengine hawawezi kupeleka jeshi bila idhini ya mabunge ya nchi zao. Halafu ikiwa rais wa Nigeria ndio mwenyekiti wa ECOWAS bunge lake limemkatalia kupeleka jeshi la nchi yake, Pima hapo mwenyekiti hatopeleka jeshi lake , Sasa rais gani fala yy ajipendekeze kupeleka jeshi lake!!? Muwe mna reason mkuu kabla ya kuongea kwa ushabiki .
 
Nigeria na nguruwe wote wa ECOWAS watulize vijambio nyumbani
 
Kama ECOWAS wameshapata baraka zote kutoka united nations, united kingdom, united states of America,(USA) France,na bahadhi ya nchi nyingine wanachama wa ECOWAS, Sion kama hayo maamuzi ya bunge la senate yatakuwa na impact sana!
Wewe Kibaraka wa majizi wa kizungu kwa marighafi za Afrika. Watu kama wewe ni hasara kwa afrika.
 
Kama ECOWAS wameshapata baraka zote kutoka united nations, united kingdom, united states of America,(USA) France,na bahadhi ya nchi nyingine wanachama wa ECOWAS, Sion kama hayo maamuzi ya bunge la senate yatakuwa na impact sana!
Yaani mpaka wapate baraka France, USA-UK..Ukoloni mamboleo...kwa hiyo wewe wanachosema hao mabwanyenye wako lazima waafrika tufanye ....Baadhi ya Waafrika mmelogwa aiseee
 
Hao nao ni wale wale tu tangu lini mapinduzi ya mtutu yakaamuliwa kidplomasia na kufanikiwa. Wangetoa mfano. Wamesahau msemo wa "dawa ya moto ni moto". Kwa nchi za kiafrika na kwa nature ya waafrika bila kutumia nguvu kufanya maamuzi utaambulia mabua. Walitakiwa walaani kitendo Cha mapinduzi ya kijeshi. Vipi km wao ndiyo wangepinduliwa nafasi zao wangesubiri hizo busara. Akili za waafrika sijui ziko wapi.
 
ECOWAS kuivamia kijeshi Niger huo ni udikteta wa kuingilia mambo ya nchi zingine.
Wanakwenda fanya hali iwe mbaya zaidi
Hapana hawajafanya vibaya bali wanatimiza objectives za umoja wao. Hata Leo tz jeshi likipindua serikali halali iliyowekwa na wananchi kidemokrasia lazima utaskia kelele nyingi kutoka mataifa mbalimbali duniani na hata kuingia majeshi ya kigeni km AU, EAC nk. Hilo jeshi la Niger ni kikundi Cha wahuni na hawana nidhamu
 
Kwa ufupi ni kwamba hao Niger wanaenda kuchakazwa,iwe mvua liwe jua,pokea huo ukweli japo utakuuma!
Kutabiri matokeo ni ngumu maan na wao wana back up ya Mrusi kupitia kikundi cha Wegna na Marekani na Ufaransa pia wanamuunga mkono rais aliyeoinduliwa na mataifa yote hayo Yana jeshi kukwa tu hapo Niger. Hapo ndo kuna utamu
 
Kama wananchi hawandamani kupinga mapinduzi hayo huoni kwamba jeshi ni sehemu ya wananchi.
Jeshi upindua pale kiongozi alipochaguliwa kidemokrasia kufanya Yaliyo kinyume na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…