sleee
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 212
- 306
Kwan baada ya RAis wa Niger kupinduliwa wananchi wa Niger wameridhia/wameandamana kupinga Mageuz hayo?Hapana hawajafanya vibaya bali wanatimiza objectives za umoja wao. Hata Leo tz jeshi likipindua serikali halali iliyowekwa na wananchi kidemokrasia lazima utaskia kelele nyingi kutoka mataifa mbalimbali duniani na hata kuingia majeshi ya kigeni km AU, EAC nk. Hilo jeshi la Niger ni kikundi Cha wahuni na hawana nidhamu
Ukiona Mass citizen wamekubal basi ECOWAS hawatafanya chochote ila ukion Mass Citizen wamepinga MAgeuz hayo ndipo ECOWAS watakuwa na nguvu