Kwan baada ya RAis wa Niger kupinduliwa wananchi wa Niger wameridhia/wameandamana kupinga Mageuz hayo?Hapana hawajafanya vibaya bali wanatimiza objectives za umoja wao. Hata Leo tz jeshi likipindua serikali halali iliyowekwa na wananchi kidemokrasia lazima utaskia kelele nyingi kutoka mataifa mbalimbali duniani na hata kuingia majeshi ya kigeni km AU, EAC nk. Hilo jeshi la Niger ni kikundi Cha wahuni na hawana nidhamu
Inawezekana Tinubu alifanya makusudi kupeleka hoja kwa seneti ili kuepuka lawama kutoka west kua yeye binafsi alikataa kuingia vitani na nigerTinubu is a Fucked Up Bored Old Man
Kiufupi wamewaogopa wagner...maana wagner wameshafika pale niger
AmenWagner ni mashine ya kuwafunza mabeberu adabu! Laiti ingekuwa sio Urusi leo hii ungekuta Niger inahujumiwa
Mungu ibariki Urusi, mbariki na Vladimir Putin mjumbe wako kwa wanadamu wa kizazi hiki.
LeoZile siku Saba zinaisha lini Wana nzengo.
Acha kuongelea ushabiki wew kimsing kinachotokea west africa n mapinduz ya haki,lazima waafrica tuungane vijana wadogo wanafanya ukombozKama ECOWAS wameshapata baraka zote kutoka united nations, united kingdom, united states of America,(USA) France,na bahadhi ya nchi nyingine wanachama wa ECOWAS, Sion kama hayo maamuzi ya bunge la senate yatakuwa na impact sana!
Safi mzee umemalizaWanajeshi wanaofanya mapinduzi huwa sio wajinga. Kuna element muhimu sana huzingalia;
Mtazamo wa raia juu ya watawala/wananchi kuchoshwa na utawala uliopo na pili kutokuwa na imani na mifumo ya kumuwajibisha mtawala.
Jeshi ndio huwa tumaini la mwisho la wananchi. Yakifanyika mapinduzi na wananchi wasipoingia barabarani, basi jua kuna mass support.
Ha ha ha haa
Wagner wako kama mafisi[emoji28][emoji28],wakiingia sehemu wanatibua Kila kitu.
hata Simba a ubabe wake akipata kitoweo cheke mafisi yakisogea TU kwa uwingi wao, basi Simba huona kero na kuamua kuachia na kuondoka.
Sawa dhuhutl hii ngoja tuone. Maana wakati mzuri wa kuanzisha mashambulizi ni Muda ambao adui atarajii. Muda wa usiku wa manani mpaka alfajiri ya mapema ikifika saambili ya kesho Monday Kwa saa za kwao basi jua chekundu hicho.
Lakini kumbuka rais aliyepinduliwa alichaguliwa na watu ingawa hao watu hatujawaona hadharani, swali la kujiuliza ni je wanawaza nini. Kwa hiyo mambo bado hayako sawaKama wananchi hawandamani kupinga mapinduzi hayo huoni kwamba jeshi ni sehemu ya wananchi.
Jeshi upindua pale kiongozi alipochaguliwa kidemokrasia kufanya Yaliyo kinyume na wananchi
So kwamba ecowas wamekubaliana na tamko lao. Kumbuka leo ndiyo siku ya mwisho waliyopewa wanamapinduzi. Tusubiri kitakachojili keshoWamefanya jambo la busara vinginevyo nchi ingechafuka. Huwezi kuingilia kumrudisha raisi madarakani asiye na sapoti ya jeshi wala wananchi. Ecowas walitaka kutuletea Afghanistan nyingine Afrika
Nmeona logo ya Wagner. Nice naona .....
Kama wananchi hawaingii barabarani kupinga mapinduzi maana yake wameridhia mapinduzi hayoLakini kumbuka rais aliyepinduliwa alichaguliwa na watu ingawa hao watu hatujawaona hadharani, swali la kujiuliza ni je wanawaza nini. Kwa hiyo mambo bado hayako sawa
Noted..Akisoma maazimio ya Maseneta baada ya kikao, Rais wa Seneti, Seneta Godswill Akpabio alisema, "Seneti inatambua kuwa Rais Tinubu kupitia mawasiliano yake hakukusudia kupata idhini ya Bunge hili kwa vita kama ilivyodhaniwa kimakosa na baadhi ya watu.