Mapinduzi ya Niger yanaweza kumkumba Tinubu wa Nigeria

Muungano ungekubalika na Wazanzibar hayo yasingeweza kuwepo Ila muungano huu wa kimabavu na kikoloni unachukiwa Zanzibar ni vile Zanzibar nguvu yao imeminywa na jeshi la kikoloni la Watanganyika.
Muungano ni divisive Zanzibar; lakini si kwamba unachukiwa na wote au kukubalika na wote.

Pro muungano ni CCM wengi, sema CCM bara mara nyingine huwa hawateuwi mtu sahihi ambae msimamo wake kwenye muungano auna shaka na hilo linachangia kuwaongezea nguvu wale wasioutaka CCM wanapokosea teuzi zao.
 
Sasa Bazoum alishinda vipi wakati yeye katokea minority ethinicity ambayo ni less than 1%, kwa influence gani aliyo nayo ya yeye kuingia madarakani kwa wizi wa kura.
Kwani wizi wa kura unahitaji hayo au ujanja ujanja wa kifisadi na ulaghai. kwani upuuzi unao fanywa na CCM katika chaguzi unahitaji hayo.

Uchaguzi wa 2020 ulihitaji hayo ulikuweza kukamilisha upuuzi ule uliofanyika ?!.
 
Kwani wizi wa kura unahitaji hayo au ujanja ujanja wa kifisadi na ulaghai. kwani upuuzi unao fanywa na CCM katika chaguzi unahitaji hayo.

Uchaguzi wa 2020 ulihitaji hayo ulikuweza kukamilisha upuuzi ule uliofanyika ?!.
Mkuu tusiharibu mada ya Niger, kuwa ya siasa za Tanzania. Kuna jukwaa lake kwenye issue zetu.

Good morning 👋
 
Amka ndugu,usije jisaidia kitandani,nikuulize swali moja tu je unauhakika walishinda kihalali??ukinijibu nitakupa zawadi.
 
Majority hawautaki muungano Zanzibar hii haitaji hata rocket science kuweza kutambua hilo ni kama vile ambavyo CCM haiitajiki Tanganyika kinachoweka uhai vitu hivi ni uharamia wa jeshi la kiharamia la Tanganyika kulinda upuuzi huu.
 
Hapo ashukuriwe mkoloni kwa kutugawa vizuri na sio Nyerere. Ukiangalia vizuri utagundua nchi majiran zetu zote zina jamii ambazo haziendani na jamii za Tanzania kwa asilimia kubwa na mkoloni alifanikiwa kutujengea roho ya ubaguzi miongoni mwetu na nchi zinazotuzunguka japo unafiki unatusaidia
 
Juzi tu wamakonde wa kusini walikuwa wakiwaficha ndugu zao wa msumbiji kufanya ugaidi Tanzania; na wamakonde kadhaa wa Tanzania wamekamatwa upande wa pili wakishiriki kwenye matendo ya vita.

Alichofanya Nyerere ni asilimia kubwa ya watu wa maeneo ya mpakani kuuweka utanzania mbele, kuliko wachache wenye sentiments za ndugu zao wa upande wa pili (Ila wapo).

Tofauti yetu na nchi zingine unakuta region yote ina sympathy na ndugu zao wa upande wa pili.
 
Hakuna mchambuzi yeyote Duniani aliewahi kufikiria kuwa vita ya Ukraine na Russia itaipasua vipande vipande jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi
Ni sisi tu huku ndo tumehisi hivyo ila kwa wenzetu KGB sijui FSB, CIA, M16 sio kweli kwamba hakuweza kuliona hili.
 
Watanzania tumeumbiwa hofu, tuna hofu. Pia tulinyimwa elimu, akili zetu zimelala. Hayati Nyerere alionesha uadilifu mkubwa saana wa uongozi ila hakuweka mazingira mazuri ya wanaokuja wawe waadilifu kama yeye, mwisho taifa likawa na viongozi wahuni kama akina jakaya, mkapa, magu na uyu mvaa kiremba. Wote waliomfata ni wezi kupindukika, hakuna uadilifu wowote ule.
 
Kwa hayo macho linaonekana kabisa halina akili
 
Kile kizazi Cha mapinduzi Nigeria hakipo tena, kama Obafemi Awolowo, Nnamdi Azikiwe, Abubakar Tafawa Balewa, Muhammadu Buhari, Abdullahi dan Fodio, Herbert Macaulay na Oliver Ogedengbe Macaulay.
 
Kile kizazi Cha mapinduzi Nigeria hakipo tena, kama Obafemi Awolowo, Nnamdi Azikiwe, Abubakar Tafawa Balewa, Muhammadu Buhari, Abdullahi dan Fodio, Herbert Macaulay na Oliver Ogedengbe Macaulay.
Demokrasia na Vyama vingi zimetuletea Majasiri wa Wizi na kutuondolea wa namna ya kina Nandi
 
Hapo ndo napoipenda Marekani yenyewe kila mtu anapenda vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…