Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Nigeria imeoza sana, ukikutana na chief kama rais vileDemokrasia na Vyama vingi zimetuletea Majasiri wa Wizi na kutuondolea wa namna ya kina Nandi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria imeoza sana, ukikutana na chief kama rais vileDemokrasia na Vyama vingi zimetuletea Majasiri wa Wizi na kutuondolea wa namna ya kina Nandi
Alikosea kupoint out Race, lakini angalia kauli unazotoa pia.Tuko hapa kabla tanzania haijapata uhuru na tutaendelea kuwepo, matatizo na umasikini wako ni wewe mwenyewe pambana acha kulialia
Neno Uzalendo, Kibaraka na Propaganda linatumika vibaya sana currently.Kuna uzalendo na kuna democracy.
Bazoum katokea kwenye minority group ya Niger, uchaguzi sera. Na hua Junta majority ni Hausa (part of Songhani people) na ndio almost 90% of the population sasa kwanini hawakunadi sera zao kwenye uchaguzi washinde including agenda ya kubadili terms mbaya za mikataba yao ya natural resources.
Leo uchaguzi umepita mshindi kapatikana halali unakumbuka uzalendo. Hizo ni sababu tu za ovyo kwenye kufanya hayo mapinduzi.
ECOWAS wana kila sababu ya kupambana na hii precedence ya regional block ambapo watu wakishindwa wanatafuta sababu za kujifanya wazalendo na kupindua nchi kwa kisingizio cha uzalendo.
Dunia inageuka geukaMimi naamini baada ya mapinduzi Niger , kuna nchi nyingine inafuata. Time will tell.
Mtoa mada ya udini uwezo wake wa kufikiri na kudadavua mambo ni mdogo sana. Mpuuze. Anatakiwa awe msomaji.Kwani alieuza viwanda vya hii nchi alikuwa rais muislamu au umesahau muasisi wa sera ya ubinafsishaji nani?Alieulizwa na CAG zilipo trillion 1.5 akaishia kumfukuza cag pia alikuwa rais muislam?kama hauna point ya kuongea bora uwe msomaji tu kama wengine sio kila kitu lazima uchangie
Kaka hii Africa inakwamishwa sana na wanasiasa wetu hawa.Hii sentensi ya mwisho imenichekesha sana.
ndo tunautaka maana bila hivyo africa iliyo bora tuisikia kwenye vitabu. Viongozi wengi hawana maamuzi sababu ya blanda iliyofanyika huko nyuma.Hiyo Iko wazi,hili wimbi la mapinduzi ni kama moto wa nyika,wasipolishughulikia Sasa huu moto utazidi kuenea
Hawa jamaaa ni wakoloni wanyonya damu. Yaani Bora mkoloni mzungu kuliko Hawa waarabu, wahindi na wachinaBado East Africa. Hapa kitawaka kumuondoa Mwarabu na Mhindi.
Inategemea na upeo wako na platforms zako mkuu.Hakuna mchambuzi yeyote Duniani aliewahi kufikiria kuwa vita ya Ukraine na Russia itaipasua vipande vipande jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi
Wewe unataraji wimbi la mapinduzi lina uwezo wowote wa kumuweka huru Mwafrika?ndo tunautaka maana bila hivyo africa iliyo bora tuisikia kwenye vitabu. Viongozi wengi hawana maamuzi sababu ya blanda iliyofanyika huko nyuma.
WBado East Africa. Hapa kitawaka kumuondoa Mwarabu na Mhindi.
Watu wenye chembe za ushoga utawajua tuuHawa jamaaa ni wakoloni wanyonya damu. Yaani Bora mkoloni mzungu kuliko Hawa waarabu, wahindi na wachina
nimekupata mkuu mimi nauthika mno na the way hizi nchi zetu za kiafrica zinavyoendeshwa.Wewe unataraji wimbi la mapinduzi lina uwezo wowote wa kumuweka huru Mwafrika?
Tulishasema humu kuwa Waafrika wanalalamika sana wakidhani wanaonewa. Hii hata kwa wazungu miongoni mwao ipo hivyo.
Angalia vizuri sababu za BREXIT ndiyo utajua. Jinsi Mfaransa alivyokua akiongea shits kwa Uingereza alivyoamua ku EXIT unadhani Uingereza angemuacha hivihivi? Maana haya uholela wa kuruhusu Wahamiaji ulifanywa zaidi na Ufaransa akijua dream destination ya Wahamiaji wengi ni Uingereza mdiyo maana Uingereza alianza kuigomea Shengen Visa.
Pia walippamua kuanzisha sarafu ya Ruro, France ndiye alikua front na German, german faster akaiua Deutsche mark, na France akaitosa French franc, hawakuupenda utawala British pound wakayaka wasawazishe nguvu kwa kutengeneza currency moja.
Uingereza akaona ni ufala maana mambo mengi kuanzia production, employment, history and pride yanaenda kuithari yenyewe moja kwaja. Ndipo akaja na BREXIT.
Hivyo jata wao wazungu wanawindana sana, ni swala la muda yu kuja kuona hata hayo Mapinduzi ya West Afrika hata Russia anatembelea nyota tu.
Tutulie tu .
Tinubu.ha ha ha huyu ni joe Biden wa Afrika ,anafanana kimatendo na umri.Huyu babu hana uzoefu wa kijeshi.Hajui athari za vita vya wenyewe kwa wenyewe au kwa uzee wake amesahau tu.